Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Hilo bus lenu hata nusu hamfiki Mancity tu inawatetemesha ndo mnaota kuchukua kombeFAINALI AC ROMA VS MAN UTD
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo bus lenu hata nusu hamfiki Mancity tu inawatetemesha ndo mnaota kuchukua kombeFAINALI AC ROMA VS MAN UTD
Hivi Barca huwa mnawaonaje.? Mbona kipindi ndio walikua moto na Messi ndio alikua balaa na tuliwapiga darajani tukaja kudraw Nou Camp tukaenda kuchukua mbele ya Bayern Munich.Mkuu Messi hajastaafu
PSG anachomoka. Au atakayepita hapa ndiye atakayeenda fainali.Barcelona ,Bayern,man city,my,Juv,liver,Nimeshindwa PSG nareal
Ungepewa Madrid angalau kwa sababu kiu ya kusaka taji hilo kwa sasa sio kubwa na hata viungo wake kwa sasa wamechoka50/50.
Barca ya sasa sio ile ya Guardiola.
Hilo halijalishi, Barcelona hii uipambanishe na Chelsea ya sasa..Kwan mmeskia wenger
Anahamia barca
Mgekua bado mko na Costa hapoHilo halijalishi, Barcelona hii uipambanishe na Chelsea ya sasa..
!![emoji15] [emoji15]
Tuna wapiga ndani nje
Hzo ndoto zenu za mchanaHivi Barca huwa mnawaonaje.? Mbona kipindi ndio walikua moto na Messi ndio alikua balaa na tuliwapiga darajani tukaja kudraw Nou Camp tukaenda kuchukua mbele ya Bayern Munich.
Msitubeze bhana. Huu ni mpira
![]()
Katika upangaji wa timu 16 zitakazopambana katika hatua ya mtoano uliofanyika leo, Timu ya Real Madrid imepangiwa kucheza na PSG wakati Chelsea itapambana na Barcelona.
Hii ndio jinsi timu zote zilivyopangiwa kucheza
![]()
Je ni timu zipi zina nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali?
Mkuu nyuki wa mashineni yukoje.......nimechekaaaBacer ya sasa ni sawa nyuki wa mashineni
As Roma ni mteja kwa Man u tunajipigiaga mpaka goli 7 saba wale . weka Bayern hapo au PSG final itanoga. Barcelona simweki huwa wanatuoneaga sana waleFAINALI AC ROMA VS MAN UTD
Mda utaongea tuu, kwani hao wakatalunya bila messi unazani wataweza kuifunga Lipuli FC ya kwetu bongoMgekua bado mko na Costa hapo
Sawa lkn Kwa kumtegemea
hazard pekeake mtatolewa asubuh na
Mapema
Haa haa haa aiseeeMda utaongea tuu, kwani hao wakatalunya bila messi unazani wataweza kuifunga Lipuli FC ya kwetu bongo
Haswaaaa!! Nakuunga mkono 100%My Prediction
Juventus
Man City
Liverpool
Man Utd
Real Madrid
Roma
Chelsea
Bayern
97% true
Ni rahisi sana Tottenham kumtoa juventus kuliko man u kumtoa sevilla. Yahifadhi haya maneno yanguUna uhakika Juve atatolewa na tottenham?
Mkuu tutajua kama ni ndoto au real. Tukutane Feb..Hzo ndoto zenu za mchana
Peleken pale darajan kwenu
Mnafkir history itajirudia
Huwa naiamini sana Chelsea inapokutana na barca hata tukiwa wabovu namna gani! Wanaobeza achana nao dk 90(H)+90(A) zitaongeaMkuu mi mwnyw nashangaa watu wanatubeza sana na wakati rekodi inatubeba. Wanaona kupoteza ni rahisi sana.
You must be dreamingChelsea hawezi kumtoa barca, wakati wote huwa ni anamsumbua tu na barca kupata ushindi hafifu sana ..lakini haitotokea chelsea amtoe barca. PSG anatolewa na R. Madrid
Wanaweza kukutana hatua za mbele...Ingependeza zaidi Barcelona wangekutana na PSG