Champions League last 16: Real Madrid kuivaa PSG; Chelsea kukipiga na Barcelona

Champions League last 16: Real Madrid kuivaa PSG; Chelsea kukipiga na Barcelona

Hilo halijalishi, Barcelona hii uipambanishe na Chelsea ya sasa..
!![emoji15] [emoji15]
Tuna wapiga ndani nje
Mgekua bado mko na Costa hapo
Sawa lkn Kwa kumtegemea
hazard pekeake mtatolewa asubuh na
Mapema
 
Hivi Barca huwa mnawaonaje.? Mbona kipindi ndio walikua moto na Messi ndio alikua balaa na tuliwapiga darajani tukaja kudraw Nou Camp tukaenda kuchukua mbele ya Bayern Munich.

Msitubeze bhana. Huu ni mpira
Hzo ndoto zenu za mchana
Peleken pale darajan kwenu

Mnafkir history itajirudia
 
Confirmed: UTD kutinga robo fainali bila ya kutumia nguvu nyingi

Swali la msingi kwenye robo fainali UTD watapangiwa timu gani

GGMU
 
avOBTTBaTm6XFjR3VlBo_GettyImages-890048556.jpg


Katika upangaji wa timu 16 zitakazopambana katika hatua ya mtoano uliofanyika leo, Timu ya Real Madrid imepangiwa kucheza na PSG wakati Chelsea itapambana na Barcelona.

Hii ndio jinsi timu zote zilivyopangiwa kucheza

TELEMMGLPICT000149034812_trans_NvBQzQNjv4BqFPFhL3U3M1c3Nuhj1mJa5zlaTMTxUhlzF8Rkw038U-A.jpeg



Je ni timu zipi zina nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali?

Timu zitakazoenda Quarterfinals

  1. BARCELONA YA KING MESSI
  2. Juventus
  3. Man City
  4. As Roma
  5. Real Madrid
  6. Sevilla
  7. Bayern
  8. Fc Porto
 
FAINALI AC ROMA VS MAN UTD
As Roma ni mteja kwa Man u tunajipigiaga mpaka goli 7 saba wale . weka Bayern hapo au PSG final itanoga. Barcelona simweki huwa wanatuoneaga sana wale
 
Back
Top Bottom