Bila shaka msimu huu wahenga wa England naweza nikasema ni wakati wao. Timu zimeingia kwenye droo bila shaka mmojawapo ataambulia kuingia fainali na hatimaye kutwaa ubingwa kabisa. Ni historia nyingne ambapo ktk misimu kadhaa iliyopita waengland hao hawajawai kutamba mbele ya wababe Barcelona pamoja na real Madrid ambao ndo mabingwa wa msimu uliopita. Ni tabiri yangu kuwa the blues from Etihad chini ya kocha mwenye mbinu mingi watafanikiwa kutawaza mabingwa wa UEFA msimu huu. Katika michezo yote waliyocheza katika hatua ya mtoano wameonekana bora Mbele ya wapinzani wao waliokuwa wakicheza nao. Japokuwa mchezo wa mwisho waliangukia pua mbali kwamba wao haikuwaathiri chochote. Ni dua zangu kwa blues hao kutinga mnako fainali na hatimaye kutwaa kombe ktk msimu huu wa 2017/2018