mkuu wewe utakuwa shabiki wa AC MILAN[emoji4] [emoji4] [emoji4] timu iliyobaki na historia SOSSUOLO anawaonea sana msalimie Gang Chomba[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi mbona sijapanick mkuu, ila sikutegemea tu ungeweza kutoa comments kama zile. Hamna asiejua kua barca wanajua, ila kama nlivyosema awali, kama kuna timu iliyobaki yenye uwezo wa kuwatoa barca basi ni atletico. Kama barca atapita kwa atletico bila shaka ndoo ya pili mfulilizo ni yake.
Huu ni mtazamo wangu tu lakini
Mkuu kama ni kweli psg atakutana na madrid nusu binafsi nampa nafasi psg ya kufika fainali kwa mara ya kwanza.***NATABIRI***
Barcelona atamtoa Atletico na Atapangiwa na Bayern hivyo Barcelona hapa ndo itakuwa mwisho wao.
Madrid atamfunga Wolfuburg na atakutana tena na PSG ambaye amemtoa M/city
****FINAL***
Real Madrid Vs Bayern.
NB:najua wengi mtapinga sana huu utabiri wangu, ila time will tell..
wekeni maneno ya akiba na hiyo siku ikifika mtajua wenyewe kuwa mimi ni zaidi ya mtabiri.
thanks...
mimi nasema Barca hawezi kumfunga Beyern hata kidogo kwa sababu bayern ni timu ambayo haitabiriki na wanajua sana kupambana na hawakati tamaa mapema.. najua juzi uliiona upambanaji wa Vidal ulivyokuwa unafanya kazi..!!!Mkuu kama ni kweli psg atakutana na madrid nusu binafsi nampa nafasi psg ya kufika fainali kwa mara ya kwanza.
Barca naamini anatoka kwa atletico, lakini kama akipita kama unavyosema na akakutana na bayern, basi bila shaka bayern ndo mwisho wao. Sioni namna yoyote ya bayern ya sasa kuitoa barca hii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umejuaje mkuu? Mi kweli ni ac milan damu, tangu miaka hiyo. Ni kweli sassuolo wamekua wakitusumbua sana, na kwa miaka mitatu mfululizo hatujawah kupata matokeo nyumbani kwa sassuolo pale mapei stadium. Tunayopitia sasa ni mapito tu, tutarudimkuu wewe utakuwa shabiki wa AC MILAN[emoji4] [emoji4] [emoji4] timu iliyobaki na historia SOSSUOLO anawaonea sana msalimie Gang Chomba
Kwa mtazamo wangu barca ya sasa sio rahisi kutolewa na bayern hii. Kama umeifuatilia vzuri Bayern ya sasa wakiwa pressed kidogo tu wanapagawa, na hilo lilionekana 1st half ya gemu ya juzi na juve. Nkiangalia beki ya bayern sioni kama wataweza kuwazuia mafundi watatu, yaani MSN kwenye kuamua matokeomimi nasema Barca hawezi kumfunga Beyern hata kidogo kwa sababu bayern ni timu ambayo haitabiriki na wanajua sana kupambana na hawakati tamaa mapema.. najua juzi uliiona upambanaji wa Vidal ulivyokuwa unafanya kazi..!!!
😀😀😀😉😉😉😉😉View attachment 330817kwa takwimu hii uko sahihi kabisa[emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi ni shabiki wa ac milan tangu nlipoanza kupata ufahamu wa kufuatilia mpira, na wakati huo tulikua ni ac milan kweli. Ulinchosha kwa ile kauli yako ya kuunganisha wachezaji wote wa ulaya afu wacheze na barca[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa mkuu labda usipopapenda au palipokuboa ni wap ikiwa kwamba nilikujb kuwa ENDAPO TUTAMTOA ATLETICO bas usije ghairisha ahad yako mf: mmebebwa huoni penat au red ) hz kaul siziendag au ULITAHARUKI baada ya kukwambia wewe ni ARSE8 [emoji12] [emoji12]
Mkuu nikupe kimuhtasar kidoogo kuhusu NOTTINGHAM FOREST hii kwenye zama zake ilitamba saana ilikuwa tishio ENGLAND na DUNIANI hii timu ndiyo timu pekee iliyoisumbua BARCA namaanisha BARCA england yote imenyanyaswa na Forest tu tena kwa kipigo cha home and away kama hyo haitoshi NOTIGHAM ilifanikiwa kushinda mechi 40 mfululizo rekod tunayoitazamia kuivunja baada ya kumfunga R.MADRID sasa katika zama hzo NOTIGHAM FOREST ilitamba na ilipita na imesahaulika iko huko inaangaika isiende ligue one kwani hali yake ni mbaya na hats leo ipo uwanjani na deby coutry HVYO IKIWA TIMU HYO ILIPITA BASI HATA AC MILAN KWA MWENENDO HUU HAKIKA ITAPOTEA NA KUSAHAULIKA[emoji23] [emoji23] [emoji23] umejuaje mkuu? Mi kweli ni ac milan damu, tangu miaka hiyo. Ni kweli sassuolo wamekua wakitusumbua sana, na kwa miaka mitatu mfululizo hatujawah kupata matokeo nyumbani kwa sassuolo pale mapei stadium. Tunayopitia sasa ni mapito tu, tutarudi
mimi naona ndio mzuri, mtu kutokujua opponent wake next stage kunaondoa figisu nyingi kama za ''fulani kapangiwa kukutana na timu vibonde anabebwa''Huu utaratibu sio mzur wa kuvuruga kila hatua, zamani walikuwa wanavuruga baada ya kupata timu 16 then fixture inakuwa inajulikana. Warudishe utaratibu wa zamani. Utaratibu wa sasa unasababisha timu zisizokuwa na uwezo kufika hatua kubwa kibahati bahati, ona sasa hivi benfica na wofsburg zna ubora gani wa kuzd Asernal na Chelsea?
mkuu ikiwa kama PEP GUARDIOLA alisema hataki kukutana tena na BARCELONA sababu ni timu inayoingia uwanjani huku timu pinzani ikijua inapoteza sembuse wewe ambaye hauko hata benchi la ufundi la uganga wa kienyejmimi nasema Barca hawezi kumfunga Beyern hata kidogo kwa sababu bayern ni timu ambayo haitabiriki na wanajua sana kupambana na hawakati tamaa mapema.. najua juzi uliiona upambanaji wa Vidal ulivyokuwa unafanya kazi..!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ule ni mfano tu mkuu ila huyu BERNAD yule dogo wa kibrazil ni balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi ni shabiki wa ac milan tangu nlipoanza kupata ufahamu wa kufuatilia mpira, na wakati huo tulikua ni ac milan kweli. Ulinchosha kwa ile kauli yako ya kuunganisha wachezaji wote wa ulaya afu wacheze na barca
***NATABIRI***Kwa mtazamo wangu barca ya sasa sio rahisi kutolewa na bayern hii. Kama umeifuatilia vzuri Bayern ya sasa wakiwa pressed kidogo tu wanapagawa, na hilo lilionekana 1st half ya gemu ya juzi na juve. Nkiangalia beki ya bayern sioni kama wataweza kuwazuia mafundi watatu, yaani MSN kwenye kuamua matokeo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na hyo timu haiwez kuwa BARCELONA tena USHINDWEEEEEE kwa jina la MSN kama unaiwazia BARCA mabaya(joking)***NATABIRI***
ipo time kubwa moja ambayo itafungwa mabao ya kutosha na kuingia aibu
Mkuu mpira wa sasa umebadilika, na unahitaji uwekezaji mkubwa. Miaka ya hivi karibuni berlusconi alikua mgumu kufungua pochi, na hiyo ikapelekea sisi kusaini mediocre players tofauti na ilivyokua zamani, ambapo milan ilikua ni kivutio cha wachezaji wakubwa. Kinachohitajika pale ni uwekezaji, na hilo lishaonekana na linashughulikiwa. Kuna jamaa anaitwa mr bee alitaka kuchkua hisa za kutosha toka kwa berlusconi, ila kuna mambo hayakua sawa. Kwa sasa kuna mpango wa kuuza 50% ya hisa zote kwa wachina ambao wako backed na serikali yao. Hiyo italeta mpunga wa kutosha, na ndipo timu itakapojengwa kucompete ktk level kubwa kama ilivyokua awaliMkuu nikupe kimuhtasar kidoogo kuhusu NOTTINGHAM FOREST hii kwenye zama zake ilitamba saana ilikuwa tishio ENGLAND na DUNIANI hii timu ndiyo timu pekee iliyoisumbua BARCA namaanisha BARCA england yote imenyanyaswa na Forest tu tena kwa kipigo cha home and away kama hyo haitoshi NOTIGHAM ilifanikiwa kushinda mechi 40 mfululizo rekod tunayoitazamia kuivunja baada ya kumfunga R.MADRID sasa katika zama hzo NOTIGHAM FOREST ilitamba na ilipita na imesahaulika iko huko inaangaika isiende ligue one kwani hali yake ni mbaya na hats leo ipo uwanjani na deby coutry HVYO IKIWA TIMU HYO ILIPITA BASI HATA AC MILAN KWA MWENENDO HUU HAKIKA ITAPOTEA NA KUSAHAULIKA
BARCA ROAD TO MILANO MAY 2016
maombi yangu mrejee kwenye makali yenu sio had lazio anafuzu uefa nyie hata uropa hamkoMkuu mpira wa sasa umebadilika, na unahitaji uwekezaji mkubwa. Miaka ya hivi karibuni berlusconi alikua mgumu kufungua pochi, na hiyo ikapelekea sisi kusaini mediocre players tofauti na ilivyokua zamani, ambapo milan ilikua ni kivutio cha wachezaji wakubwa. Kinachohitajika pale ni uwekezaji, na hilo lishaonekana na linashughulikiwa. Kuna jamaa anaitwa mr bee alitaka kuchkua hisa za kutosha toka kwa berlusconi, ila kuna mambo hayakua sawa. Kwa sasa kuna mpango wa kuuza 50% ya hisa zote kwa wachina ambao wako backed na serikali yao. Hiyo italeta mpunga wa kutosha, na ndipo timu itakapojengwa kucompete ktk level kubwa kama ilivyokua awali
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mbona unajishuku hivyo mkuu, angalia isije ikajirudia ile ya 2013[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na hyo timu haiwez kuwa BARCELONA tena USHINDWEEEEEE kwa jina la MSN kama unaiwazia BARCA mabaya(joking)
Asante kwa maombi yako mkuu, ni imani yangu kua tutarejea kwenye ubora wetu, ingawa mashabiki wengi wa ligi ya england hawaombei hilo maana mafanikio ya timu za italia ulaya zitaongeza coefficient ya italy kimahesabu, na hiyo itaiweka matatani england ktk kupoteza nafasi ya kuingiza timu nne uefa, kama ilivyo sasamaombi yangu mrejee kwenye makali yenu sio had lazio anafuzu uefa nyie hata uropa hamko
kama kuna ligi mbovu ulaya bas ENGLAND inaongoza yani EPL ni ligi mbovu tena mbovu kupita maelezo wale timu ya UEFA inabd waekewe moja tu kama TURKEY maana ligi imejaa kelele mpira hakuna kaz fujo tu mpira ukimaliza kuangalia lazma kichwa kiume kwani haikuwa burudani ila ni vita na kwa kuwa wanakelele ndio mana siku za hv karbuni tunawawaisha mapema kwenda nje kwenye UEFAAsante kwa maombi yako mkuu, ni imani yangu kua tutarejea kwenye ubora wetu, ingawa mashabiki wengi wa ligi ya england hawaombei hilo maana mafanikio ya timu za italia ulaya zitaongeza coefficient ya italy kimahesabu, na hiyo itaiweka matatani england ktk kupoteza nafasi ya kuingiza timu nne uefa, kama ilivyo sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umesema kila kitu, naunga mkono hoja 100%kama kuna ligi mbovu ulaya bas ENGLAND inaongoza yani EPL ni ligi mbovu tena mbovu kupita maelezo wale timu ya UEFA inabd waekewe moja tu kama TURKEY maana ligi imejaa kelele mpira hakuna kaz fujo tu mpira ukimaliza kuangalia lazma kichwa kiume kwani haikuwa burudani ila ni vita na kwa kuwa wanakelele ndio mana siku za hv karbuni tunawawaisha mapema kwenda nje kwenye UEFA