Champions League quarter-final draw: PSG face Manchester City – as it happened

[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi mbona sijapanick mkuu, ila sikutegemea tu ungeweza kutoa comments kama zile. Hamna asiejua kua barca wanajua, ila kama nlivyosema awali, kama kuna timu iliyobaki yenye uwezo wa kuwatoa barca basi ni atletico. Kama barca atapita kwa atletico bila shaka ndoo ya pili mfulilizo ni yake.
Huu ni mtazamo wangu tu lakini
mkuu wewe utakuwa shabiki wa AC MILAN[emoji4] [emoji4] [emoji4] timu iliyobaki na historia SOSSUOLO anawaonea sana msalimie Gang Chomba
 
***NATABIRI***
Barcelona atamtoa Atletico na Atapangiwa na Bayern hivyo Barcelona hapa ndo itakuwa mwisho wao.

Madrid atamfunga Wolfuburg na atakutana tena na PSG ambaye amemtoa M/city

****FINAL***
Real Madrid Vs Bayern.

NB:najua wengi mtapinga sana huu utabiri wangu, ila time will tell..
wekeni maneno ya akiba na hiyo siku ikifika mtajua wenyewe kuwa mimi ni zaidi ya mtabiri.
thanks...
Mkuu kama ni kweli psg atakutana na madrid nusu binafsi nampa nafasi psg ya kufika fainali kwa mara ya kwanza.
Barca naamini anatoka kwa atletico, lakini kama akipita kama unavyosema na akakutana na bayern, basi bila shaka bayern ndo mwisho wao. Sioni namna yoyote ya bayern ya sasa kuitoa barca hii
 
mimi nasema Barca hawezi kumfunga Beyern hata kidogo kwa sababu bayern ni timu ambayo haitabiriki na wanajua sana kupambana na hawakati tamaa mapema.. najua juzi uliiona upambanaji wa Vidal ulivyokuwa unafanya kazi..!!!
 
mkuu wewe utakuwa shabiki wa AC MILAN[emoji4] [emoji4] [emoji4] timu iliyobaki na historia SOSSUOLO anawaonea sana msalimie Gang Chomba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umejuaje mkuu? Mi kweli ni ac milan damu, tangu miaka hiyo. Ni kweli sassuolo wamekua wakitusumbua sana, na kwa miaka mitatu mfululizo hatujawah kupata matokeo nyumbani kwa sassuolo pale mapei stadium. Tunayopitia sasa ni mapito tu, tutarudi
 
mimi nasema Barca hawezi kumfunga Beyern hata kidogo kwa sababu bayern ni timu ambayo haitabiriki na wanajua sana kupambana na hawakati tamaa mapema.. najua juzi uliiona upambanaji wa Vidal ulivyokuwa unafanya kazi..!!!
Kwa mtazamo wangu barca ya sasa sio rahisi kutolewa na bayern hii. Kama umeifuatilia vzuri Bayern ya sasa wakiwa pressed kidogo tu wanapagawa, na hilo lilionekana 1st half ya gemu ya juzi na juve. Nkiangalia beki ya bayern sioni kama wataweza kuwazuia mafundi watatu, yaani MSN kwenye kuamua matokeo
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa mkuu labda usipopapenda au palipokuboa ni wap ikiwa kwamba nilikujb kuwa ENDAPO TUTAMTOA ATLETICO bas usije ghairisha ahad yako mf: mmebebwa huoni penat au red ) hz kaul siziendag au ULITAHARUKI baada ya kukwambia wewe ni ARSE8 [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi ni shabiki wa ac milan tangu nlipoanza kupata ufahamu wa kufuatilia mpira, na wakati huo tulikua ni ac milan kweli. Ulinchosha kwa ile kauli yako ya kuunganisha wachezaji wote wa ulaya afu wacheze na barca
 
  • Thanks
Reactions: PNC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umejuaje mkuu? Mi kweli ni ac milan damu, tangu miaka hiyo. Ni kweli sassuolo wamekua wakitusumbua sana, na kwa miaka mitatu mfululizo hatujawah kupata matokeo nyumbani kwa sassuolo pale mapei stadium. Tunayopitia sasa ni mapito tu, tutarudi
Mkuu nikupe kimuhtasar kidoogo kuhusu NOTTINGHAM FOREST hii kwenye zama zake ilitamba saana ilikuwa tishio ENGLAND na DUNIANI hii timu ndiyo timu pekee iliyoisumbua BARCA namaanisha BARCA england yote imenyanyaswa na Forest tu tena kwa kipigo cha home and away kama hyo haitoshi NOTIGHAM ilifanikiwa kushinda mechi 40 mfululizo rekod tunayoitazamia kuivunja baada ya kumfunga R.MADRID sasa katika zama hzo NOTIGHAM FOREST ilitamba na ilipita na imesahaulika iko huko inaangaika isiende ligue one kwani hali yake ni mbaya na hats leo ipo uwanjani na deby coutry HVYO IKIWA TIMU HYO ILIPITA BASI HATA AC MILAN KWA MWENENDO HUU HAKIKA ITAPOTEA NA KUSAHAULIKA
BARCA ROAD TO MILANO MAY 2016
 
Huu utaratibu sio mzur wa kuvuruga kila hatua, zamani walikuwa wanavuruga baada ya kupata timu 16 then fixture inakuwa inajulikana. Warudishe utaratibu wa zamani. Utaratibu wa sasa unasababisha timu zisizokuwa na uwezo kufika hatua kubwa kibahati bahati, ona sasa hivi benfica na wofsburg zna ubora gani wa kuzd Asernal na Chelsea?
mimi naona ndio mzuri, mtu kutokujua opponent wake next stage kunaondoa figisu nyingi kama za ''fulani kapangiwa kukutana na timu vibonde anabebwa''
 
mimi nasema Barca hawezi kumfunga Beyern hata kidogo kwa sababu bayern ni timu ambayo haitabiriki na wanajua sana kupambana na hawakati tamaa mapema.. najua juzi uliiona upambanaji wa Vidal ulivyokuwa unafanya kazi..!!!
mkuu ikiwa kama PEP GUARDIOLA alisema hataki kukutana tena na BARCELONA sababu ni timu inayoingia uwanjani huku timu pinzani ikijua inapoteza sembuse wewe ambaye hauko hata benchi la ufundi la uganga wa kienyej
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] TUNASAFAR NDEFU
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mi ni shabiki wa ac milan tangu nlipoanza kupata ufahamu wa kufuatilia mpira, na wakati huo tulikua ni ac milan kweli. Ulinchosha kwa ile kauli yako ya kuunganisha wachezaji wote wa ulaya afu wacheze na barca
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ule ni mfano tu mkuu ila huyu BERNAD yule dogo wa kibrazil ni balaa
 
Kwa mtazamo wangu barca ya sasa sio rahisi kutolewa na bayern hii. Kama umeifuatilia vzuri Bayern ya sasa wakiwa pressed kidogo tu wanapagawa, na hilo lilionekana 1st half ya gemu ya juzi na juve. Nkiangalia beki ya bayern sioni kama wataweza kuwazuia mafundi watatu, yaani MSN kwenye kuamua matokeo
***NATABIRI***
ipo time kubwa moja ambayo itafungwa mabao ya kutosha na kuingia aibu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na hyo timu haiwez kuwa BARCELONA tena USHINDWEEEEEE kwa jina la MSN kama unaiwazia BARCA mabaya(joking)
 
Mkuu nikupe kimuhtasar kidoogo kuhusu NOTTINGHAM FOREST hii kwenye zama zake ilitamba saana ilikuwa tishio ENGLAND na DUNIANI hii timu ndiyo timu pekee iliyoisumbua BARCA namaanisha BARCA england yote imenyanyaswa na Forest tu tena kwa kipigo cha home and away kama hyo haitoshi NOTIGHAM ilifanikiwa kushinda mechi 40 mfululizo rekod tunayoitazamia kuivunja baada ya kumfunga R.MADRID sasa katika zama hzo NOTIGHAM FOREST ilitamba na ilipita na imesahaulika iko huko inaangaika isiende ligue one kwani hali yake ni mbaya na hats leo ipo uwanjani na deby coutry HVYO IKIWA TIMU HYO ILIPITA BASI HATA AC MILAN KWA MWENENDO HUU HAKIKA ITAPOTEA NA KUSAHAULIKA
BARCA ROAD TO MILANO MAY 2016
Mkuu mpira wa sasa umebadilika, na unahitaji uwekezaji mkubwa. Miaka ya hivi karibuni berlusconi alikua mgumu kufungua pochi, na hiyo ikapelekea sisi kusaini mediocre players tofauti na ilivyokua zamani, ambapo milan ilikua ni kivutio cha wachezaji wakubwa. Kinachohitajika pale ni uwekezaji, na hilo lishaonekana na linashughulikiwa. Kuna jamaa anaitwa mr bee alitaka kuchkua hisa za kutosha toka kwa berlusconi, ila kuna mambo hayakua sawa. Kwa sasa kuna mpango wa kuuza 50% ya hisa zote kwa wachina ambao wako backed na serikali yao. Hiyo italeta mpunga wa kutosha, na ndipo timu itakapojengwa kucompete ktk level kubwa kama ilivyokua awali
 
maombi yangu mrejee kwenye makali yenu sio had lazio anafuzu uefa nyie hata uropa hamko
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na hyo timu haiwez kuwa BARCELONA tena USHINDWEEEEEE kwa jina la MSN kama unaiwazia BARCA mabaya(joking)
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mbona unajishuku hivyo mkuu, angalia isije ikajirudia ile ya 2013
 
Sasa safari hii Barca analitetea taji kwa mara ya kwanza ktk historia tangu michuano ibadilishwe jina. Mi najionea timu nyanya zote zilizobaki dhidi ya Barca. Ingekua Bayern ya babu ningesema Bayern anabeba taji. Lakini huyu mvaa modo katuharibia tu timu.
 
maombi yangu mrejee kwenye makali yenu sio had lazio anafuzu uefa nyie hata uropa hamko
Asante kwa maombi yako mkuu, ni imani yangu kua tutarejea kwenye ubora wetu, ingawa mashabiki wengi wa ligi ya england hawaombei hilo maana mafanikio ya timu za italia ulaya zitaongeza coefficient ya italy kimahesabu, na hiyo itaiweka matatani england ktk kupoteza nafasi ya kuingiza timu nne uefa, kama ilivyo sasa
 
kama kuna ligi mbovu ulaya bas ENGLAND inaongoza yani EPL ni ligi mbovu tena mbovu kupita maelezo wale timu ya UEFA inabd waekewe moja tu kama TURKEY maana ligi imejaa kelele mpira hakuna kaz fujo tu mpira ukimaliza kuangalia lazma kichwa kiume kwani haikuwa burudani ila ni vita na kwa kuwa wanakelele ndio mana siku za hv karbuni tunawawaisha mapema kwenda nje kwenye UEFA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umesema kila kitu, naunga mkono hoja 100%
England promo ndo zinawasaidia, media zinawabeba sana, ila kimpira hamna kitu
 
Back
Top Bottom