hii ligi inanikera sana na ndio mana naiitaga RUGBY LEAGUE ila pia juve aliniboa sana siku ile na yule kocha sijajua aliwaza nini kumtoa Morata mtu ambaye walau alikuwa anawatisha Bayern pale mbele na walisubir zirudishwe zote ndio waanze kushambulia pumbaaavu saaana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu umesema kila kitu, naunga mkono hoja 100%
England promo ndo zinawasaidia, media zinawabeba sana, ila kimpira hamna kitu
Game ya kwanza msimu huu vicente calderon simeon alisema sikushangilia goli la torres cz nilimuona messi nje akipashaBinafsi nusu namuona atletico, madrid, psg na bayern. Sioni kama barca anaweza kumtoa atletico, game kama hzi ni tofauti sana na za la liga, na game ya mwisho inapigwa calderon. Bila shaka simeone ataingia nou camp kutafuta droo game ya kwanza, ili majibu yakapatikane calderon, na kwa jinsi nnavyomjua huyu mtu kwenye game kama hzo droo ni kitu anachoweza kupata
Sio mcmu huu tu kwa miaka mingi atletico hajawai kushndaWanaichukulia poa sababu msimu huu wa ligi ya Spain atletico hajamfunga Barcelona
Pale kocha ndo alipozingua yan. Bayern game ilishawakalia vibaya. kocha alipaswa kumuacha morata na cuadrado watie jamba jamba pale mbele ili kuzidi kuwachanganya bayern, ila ndo hivyo allegri mahesabu yake yameigarimu juve. Nliumia sana kuona buffon anatoka kwa style ilehii ligi inanikera sana na ndio mana naiitaga RUGBY LEAGUE ila pia juve aliniboa sana siku ile na yule kocha sijajua aliwaza nini kumtoa Morata mtu ambaye walau alikuwa anawatisha Bayern pale mbele na walisubir zirudishwe zote ndio waanze kushambulia pumbaaavu saaana
Tuombe uzima hiyo siku ifike tu. Ila mechi itakuwa ngumuSio mcmu huu tu kwa miaka mingi atletico hajawai kushnda
Ingawa barca tuna match April 2 na madrid na tarehe 5 na atleticoTuombe uzima hiyo siku ifike tu. Ila mechi itakuwa ngumu
[emoji19] [emoji19] ndio hvyo mkuu yani Juve walipoteza Golden Chance ila wakat mwingine watajifunza kutokana na makosaPale kocha ndo alipozingua yan. Bayern game ilishawakalia vibaya. kocha alipaswa kumuacha morata na cuadrado watie jamba jamba pale mbele ili kuzidi kuwachanganya bayern, ila ndo hivyo allegri mahesabu yake yameigarimu juve. Nliumia sana kuona buffon anatoka kwa style ile
Duuuh hope mtapata changamotoIngawa barca tuna match April 2 na madrid na tarehe 5 na atletico
Barca tupo on fire hatufungwa game 38Duuuh hope mtapata changamoto
Soon mtafungwa tu just wait and seeBarca tupo on fire hatufungwa game 38
Nikiwafunga atletico nusu final nikimpata psg ntampga nje ndanSoon mtafungwa tu just wait and see
Madrid fainal aende kufanya nini? Tunamtaka huyu mdudu.Bila kupepesa macho NUSU FINAL UEFA ITAKUWA HIVI
BARCA vs BAYERN
PSG vs MADRID
Kwanini sio Bayern?...Barca akimtoa Atletico anaenda kuchukua hilo kombe,binafsi naiona Atletico ndio timu ngumu zaidi ya zote zilizokuwepo kwenye hiyo draw..
Huyo Madrid labda asikutane njiani na Bayern au PSG. Ila akipita nafasi ya hapo mimi naona atapewa Barca nusu.Final Barcelona Vs Madrid.
Waliosema Atletico wataaga mashindano hawajakurupuka, angalia misimu miwili ya hivi karibuni kati ya Atletico na Barca wakikutana. Kuanzia ligi mpaka Copa Del Ray Atletico anakaa, tena anakaa home and away. Labda aombe Barca ipate majeruhi.Kila ninaposoma comment za watu wanavyoidharau atletico Madrid nabaki kucheka tu!!Hizi game ndio huwa zinampandisha chart Diego simeone!
Hoja isiyo na mashiko, hiyo draw unayosema inachanganywa ni siasa za kimpira tu. Ila Draw inapangwa na wao wenyewe ili kuleta faida kwa shirikisho.Mkuu UCL na Europa league kuanzia 16 mpaka semis ratiba inatokana na draw inayochezeshwa kwa mtindo wa bahati nasibu kama tulivyoona leo. Majina ya club zote bila kujali rank au ligi yanawekwa pamoja kwenye glass yanachanganywa mbele ya kadamnasi ndio inapatikana ratiba. Wanaolalamikia hii ni watanzania na Diego Simeone tu kwasababu wamezoea kulialia kila kitu.
Bayern hawajui kudefence kma atleticoKwanini sio Bayern?
Sema Atletico kisha Bayern, hao PSG na Real Madrid hawawezi wakatoa hata droo na Barca uwanjani kwao.ili barca awe bingwa halali niliombea apite ktk njia 3,atletico kisha real madrid au psg then final amalize na bayern,naona amekutana na kigingi cha kwanza!!!ngoja tuone
kwa nini ?Dua yangu Atletico atoke