A
Anonymous
Guest
Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza
Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025, hatujalipwa fedha za kujikimušš. Kinachotuumiza zaidi viongozi wetu wanatoa majibu ya mkato, ukipiga simu hawapokei na ukituma sms wana-bluetick tu.
Tusaidieni ujumbe huu ufike kwa Viongozi wa juu wajue kuwa tunafanya kazi lakini hatuna furaha, sisi tunajihusisha na afya za Watu, kama tunafanya kazi hatuna furaha siyo jambo zuri kisaikolojia na kikazi kwa jumla.