kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,493
- 18,387
CHAN 2024 – Robo Fainali
🇹🇿 Tanzania vs Morocco 🇲🇦
📍 Uwanja wa Mkapa, Dar
⏰ Saa 2 Usiku
Tanzania kwa mara ya kwanza tumefika robo fainali ya CHAN.
Morocco ni mabingwa mara mbili (2018 & 2020), wana uzoefu mkubwa.
Taifa Stars imeruhusu goli 1 pekee hatua ya makundi, lakini Morocco walifunga 8 inaonyesha nguvu yao ya ushambuliaji.
Hii ni mara ya kwanza timu hizi kukutana CHAN.
Mechi ngumu, Tanzania tukiwa na faida ya uwanja wa nyumbani na mashabiki, Morocco wakitegemea ubora na uzoefu.
Tukutane hapa kwa ajili ya
🔴 Live Updates.
Updates ...
Vikosi
1.Morocco
2. Tanzania