HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
3
Kuweni wazalendoWateva, wageni washinde.
Hamna kocha pale ni uwezo wa wachezaji tu 🤣🤣🤣🤣🤣Kocha wetu kila siku akihojiwa anaongea maneno yale yale 🤣
Wish you all the bet Taifa Stars
Majibu mpaka sasa umeyapataMadagasca wamefikaje hapo mbona wanarukaruka tu
Huyo mpiga picha anatoa picha zimeeditiwa mpk mtu anakua kama kajichubua...Jeshi letu la leo
View attachment 3449158