CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

Hapa labda Jecha aje afute matokeo
mtaalamu

1755883828826.png
 
View attachment 3448741
CHAN 2024 – Robo Fainali
🇹🇿 Tanzania vs Morocco 🇲🇦

📍 Uwanja wa Mkapa, Dar
⏰ Saa 2 Usiku

Tanzania kwa mara ya kwanza tumefika robo fainali ya CHAN.

Morocco ni mabingwa mara mbili (2018 & 2020), wana uzoefu mkubwa.

Taifa Stars imeruhusu goli 1 pekee hatua ya makundi, lakini Morocco walifunga 8 inaonyesha nguvu yao ya ushambuliaji.

Hii ni mara ya kwanza timu hizi kukutana CHAN.

Mechi ngumu, Tanzania tukiwa na faida ya uwanja wa nyumbani na mashabiki, Morocco wakitegemea ubora na uzoefu.

Tukutane hapa kwa ajili ya
🔴 Live Updates.

Updates ...
Vikosi

1.Morocco
View attachment 3449221

2. Tanzania
View attachment 3449225
Huyu mzize
 
Kodi zetu zinatapwanywa tu... Eti golikipa asipofungwa tu, crown hiyo ya dezo dezo..!

Nchi ngumu sana
 
Back
Top Bottom