CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

Kwa mpira huu waopiga Morocco hapa kwa Mkapa, kuna mawili.

1. Hawa jamaa ni class ya juu.
2. Tanzania hatuna timu.
 
Haiwezekani kwa Mkapa tunapigishwa mpira namna hii. Game tungekuwa away tushagongwa kama 4.
 
Back
Top Bottom