CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

Wamepata chance wametumia na wapo semi sasa hivi, Sisi hata tulizopata hatutumii tunakaanga chipsi Tu...
Kuna msemo eti waarabu wanajiangusha mara fitina, hakuna lolote tukiambia tuna KAMDOMO tusilalamike. ukweli ni kwamba Tanzania hawajui mpira, wenzetu wametuzidi mbali sana, kama walimsumbua tu Portugal na ufaransa sembuse taifa stars
 
Unaonekana huelewi ninachojaribu kusema maana hata kuandika spelling tu kunakushinda, tunazungumzia sasa hivi, hayo mambo ya kina Maximo yashapita tayari, wenzetu wanakimbia Sisi bado tunatambaa na bado unazungumzia mambo ya nyuma?, hahah, tuongelee kuhusu technical analysis hapa na siyo hizo porojo maana hakuna asiyejua Maximo kafanya nini, tuende mbele tufanye nini?, huyo maximo ukimleta Leo hii atachemka, kama taifa tumekosea wapi?.
Hatijui boli tunaishiwa pawa mapema mno. Haya mambo ya wachezaji wakigeni 12 nalo liangaliwe.
Team selection nayo tuwe makini
 
Huna akili!
 
Hatari mkuu, yaani tunashindwa kuwekeza Kwa wazawa kabisa, inasikitisha Jana Morocco wanafanya transition Sisi hatujui tukabie wapi.
 
Hatuna wachezaji competitor simba yanga na Azam inabidi watengeneze wazawa kwa masilahi ya taifa

Fullstop, kwishaaa
Wale wachezaji wa rs berkane wametika kucheza fainali shirijisho juzi tu hapa wanakuja kucheza na wachezaji ambao hata mashindano ya ndani tu mtiti

Fullstop, kwishaaa
 
Kuna msemo eti waarabu wanajiangusha mara fitina, hakuna lolote tukiambia tuna KAMDOMO tusilalamike. ukweli ni kwamba Tanzania hawajui mpira, wenzetu wametuzidi mbali sana, kama walimsumbua tu Portugal na ufaransa sembuse taifa stars
Hatutaki kubadilika, Morocco wamewekeza Sana kwenye mpira, mlolongo wa makuzi ya kimpira Kwa wachezaji wao ni mzuri...Just Imagine Tu mfano Egypt, Ile timu yao ya taifa asilimia kubwa ni wale wale wa ndani lakini wanashindana na wachezaji wa west Africa ambao wengi wanacheza ligi kubwa ama ligi za juu ulaya, Leo hii unaweza kushindwa kufananisha Kati ya mchezaji wa ulaya na Yule wa pale Ahly...Nafikiri tunahitajika kuwa serious kwenye mpira kama tunataka kufika mbali.
 
Back
Top Bottom