CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

Uganda pekee ndo ataiwakilisha afrika mashariki


Fullstop, kwishaaa
 
View attachment 3448741
CHAN 2024 – Robo Fainali
🇹🇿 Tanzania vs Morocco 🇲🇦

📍 Uwanja wa Mkapa, Dar
⏰ Saa 2 Usiku

Tanzania kwa mara ya kwanza tumefika robo fainali ya CHAN.

Morocco ni mabingwa mara mbili (2018 & 2020), wana uzoefu mkubwa.

Taifa Stars imeruhusu goli 1 pekee hatua ya makundi, lakini Morocco walifunga 8 inaonyesha nguvu yao ya ushambuliaji.

Hii ni mara ya kwanza timu hizi kukutana CHAN.

Mechi ngumu, Tanzania tukiwa na faida ya uwanja wa nyumbani na mashabiki, Morocco wakitegemea ubora na uzoefu.

Tukutane hapa kwa ajili ya
🔴 Live Updates.

Updates ...
Vikosi

1.Morocco
View attachment 3449221

2. Tanzania
View attachment 3449225
Samia Stars zero na Morocco 💪🏾, mngeshinda mngeanza kumsifia bi Kizimkazi sasa mmepigwa mzomeeni.
Kuingiza siasa kumefanya nifurahie Taifa Stars kutandikwa.
 
Hivi kweli Taifa Stars iende nusu fainali afu Morocco itoke? Yani Nasoro Saduni aende nusu fainali afu Ousama Lamlioui arudi Casablanca? Hebu tuweni serious basi kidogo. Tujifunze kupenda vitu vizuri. Tusubiri mpira mzuri kwenye fainali ya Algeria na Morocco.
 
Tanzania tunajua kuiba tu kura
Vingine tuwaachie wengine😀
 
Back
Top Bottom