CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

Tatizo si Hilo(Tatizo la kocha ) pekee, kama unaujua mpira basi itakuwa ni ajabu kutokugundua level za kiuchezaji za wale Morocco na sisi, kama kweli unajua lakini.
Unasema sijuo mpira wakati matokeo ya mechi nimetoa saa saba mchana. 😂

Kocha ni tatizo. Once style of play change, utaona hiyo level.

Huyo mbwamba hapo chini Jan B Poulsen alitoka na draw Blida, Algeraia wakiwa wametimia na wachezaji wao wote wa nje. Tafuta clip ya michezo yake yote hasaa kipindi cha pili utaona hiyo level or tafuta na Bafana Bafana taifa, second half uwaone nini wakina machaku,Julius Mrope walikuwa wanafanya.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1958982809848090878
 
Tunazungumzia sasa hivi, sijui ninavyozungumzia "kiuchezaji" unaelewa, Morocco alifungwa na Kenya juzi hapa lakini Kenya si kwamba ni timu Bora kuzidi Morocco, Leo hii Stars inaweza kutoa sare na timu kama Egypt, Senegal lakini si kwamba Stars ni timu Bora...Haya sasa hao makocha Bora unaosema waliipeleka wapi timu ya taifa? , walichukua vikombe?, mpira ni consistence ya kiuchezaji, lazima timu na wachezaji waonyeshe daraja la kuweza kushindana, just imagine Morocco wamepata clear chance wameitumia mujarab, Sisi tumepata ngapi na tumefunga ngapi Leo?, Hilo nalo alaumiwe kocha?, kocha ana mapungufu yake lakini mzigo mkubwa uko kwa wachezaji wenyewe.
 
Tunazungumzia sasa hivi, sijui ninavyozungumzia "kiuchezaji" unaelewa, Morocco alifungwa na Kenya juzi hapa lakini Kenya si kwamba ni timu Bora kuzidi Morocco, Leo hii Stars inaweza kutoa sare na timu kama Egypt, Senegal lakini si kwamba Stars ni timu Bora...Haya sasa hao makocha Bora unaosema waliipeleka wapi timu ya taifa?, mpira ni consistence ya kiuchezaji, lazima timu na wachezaji waonyeshe daraja la kuweza kushindana, just imagine Morocco wamepata clear chance wameitumia mujarab, Sisi tumepata ngapi na tumefunga ngapi Leo?, Hilo nalo alaumiwe kocha?, kocha ana mapungufu yake lakini mzigo mkubwa uko kwa wachezaji wenyewe.

Morocco leo wamepoteza chance nyingi kuliko sisi
 
Sisi tumepata clear chance moja. Huku morocco wamepata clear chance 4
Kitimu cenyewe kimeingia kwenye game ikiwa na hofu,hakuna fighting spirit unaona kabisa walishafungww kisaikolojia kabla ya mechi.

Ukweli ni kwamba hata Madagaska imetuzidi ila tuliwakomalia Kwa sababu hawana jina kubwa so.kisaikolojia tukajiamini.
 
Tunazungumzia sasa hivi, sijui ninavyozungumzia "kiuchezaji" unaelewa, Morocco alifungwa na Kenya juzi hapa lakini Kenya si kwamba ni timu Bora kuzidi Morocco, Leo hii Stars inaweza kutoa sare na timu kama Egypt, Senegal lakini si kwamba Stars ni timu Bora...Haya sasa hao makocha Bora unaosema waliipeleka wapi timu ya taifa? , walichukua vikombe?, mpira ni consistence ya kiuchezaji, lazima timu na wachezaji waonyeshe daraja la kuweza kushindana, just imagine Morocco wamepata clear chance wameitumia mujarab, Sisi tumepata ngapi na tumefunga ngapi Leo?, Hilo nalo alaumiwe kocha?, kocha ana mapungufu yake lakini mzigo mkubwa uko kwa wachezaji wenyewe.

Nimekwambia Maximo.na Jan Poulsen walikuta ligi yetu ni mbuvu na duni, hata hatua za makundi tumu zetu hazifiki. Maximo alirupeleka Chan Ivory Coast.

Kumbe hata za darasani ni shida.🚮
 
Nimekwambia Maximo.na Jan Poulsen walikuta ligi yetu ni mbuvu na duni, hata hatua za makundi tumu zetu hazifiki. Maximo alirupeleka Chan Ivory Coast.

Kumbe hata za darasani ni shida.🚮
Unaonekana huelewi ninachojaribu kusema maana hata kuandika spelling tu kunakushinda, tunazungumzia sasa hivi, hayo mambo ya kina Maximo yashapita tayari, wenzetu wanakimbia Sisi bado tunatambaa na bado unazungumzia mambo ya nyuma?, hahah, tuongelee kuhusu technical analysis hapa na siyo hizo porojo maana hakuna asiyejua Maximo kafanya nini, tuende mbele tufanye nini?, huyo maximo ukimleta Leo hii atachemka, kama taifa tumekosea wapi?.
 
Back
Top Bottom