Lile nilisema gundu mapema team imeingia uwanjani imechoka Kila saa wanasiasa walienda kuisalimiaCrown ya chalamila imeshaingia doa na kitumbua hakiliki ila viongozi wetu hawa si alijua kabisa moroko hawawezekaniki wanataja tuzo kubwa 🤣🤣
Pale aliposema watawakabidhi kinyonge wakifungwa nadhani watacheleweshewa kupewaCrown ya chalamila imeshaingia doa na kitumbua hakiliki ila viongozi wetu hawa si alijua kabisa moroko hawawezekaniki wanataja tuzo kubwa 🤣🤣
Crown wapi na wapi....Crown ya chalamila imeshaingia doa
Yaani huku ni kuoneana Tu...Tatizo Sisi ni watu Fulani hivi wanafki wanafki, kiuchezaji Morocco wako mbali yaani ni dunia ya tofauti kabisa, wewe Angalia composure waliyokuwa nayo Tu utajua unacheza na watu wa namna gani, utajua Tu unacheza na wachezaji waliopitia level mbalimbali za makuzi sahihi ya mpira, tunaweza kuifunga Morocco lakini Kwa kubahatisha, lakini Ile level ya mpira wako mbali Sana.
Mkuu wewe ni timu gani ?Crown imeyeyaView attachment 3449487 kipa apewe hii
KabisaPengo La Kagoma Limetamalaki..
Hivi kale Ka waya hakafiki huku uwanjani tuconect mbona tutakuja Chekwa na wakenya maanawao watasema wamekufa kiume,Sisi naona tunakwenda kufa kikikeKuna nchi fulani kazi pekee inayoweza kuofamya kwa ufanisi ni wizi wa kura
Crown wapi na wapi....
Unadhani Chalamila ana yard ya kugawa magari?
Hakuna cha crown hapo zaidi ya mwambwajo wa Chalamila 😂😂
Ndio mkuu, umejaa majiVipi uwanja umejaa?
🤣🤣 Siasa ni mchezo mchafuPale aliposema watawakabidhi kinyonge wakifungwa nadhani watacheleweshewa kupewa
🤣🤣🤣🤣Uliona mbaliLile nilisema gundu mapema team imeingia uwanjani imechoka Kila saa wanasiasa walienda kuisalimia