CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

Nikiangalia jinsi Stars wanavyo hangaika na Morocco nakumbuka jinsi Simba inavyo hangaikaga kuitafuta Nusu fainali ya CCL...... Mwisho wa siku OUT
😂😂😂😂
 
Haya sasa tumesha fungwa 1 mungu ibariki Tanzania nibariki timu yetu ipate ushindi
 
Crown imeyeya
Gy0GgEgWgAAj8AA.jpg
kipa apewe hii
 
Back
Top Bottom