Hawafikii wakenyaHuu mpira anaopigishwa Starz ni mwingi sana.
Mzeya unakaribia kula helaCorrect score 0:1,0:2
Kulinganisha na upiHuu mpira anaopigishwa Starz ni mwingi sana.
Wahuni tuu kama ruto muhuni wanajua uwezo wa timu zetu bwanaCrown ya chalamila imeshaingia kitumbua ila viongozi wetu hawa si alijua kabisa moroko hawezekani wanataja tuzo kubwa 🤣🤣
Team ya wakandamizaji leo ikandwe hadi wapoteaneBaba wa mbinguni ikikupendeza wale wakenya waliokuja kuishangilia Morocco warudi na furaha.
Tanzania 1-3 Morocco.
Na watu wote watasema Amina.
Lile liwaya mwisho wake ni tumeccm ya uchaguziCcm wameshindwa kuunganisha lile li waya lao huku CHAN?
😎😎😎📍📌Mungu wabariki wa-Morroco
Hatutaki makelele ya ya kipuuzi ya mama mama mama wakati mama mwenyewe anauza bandari zetu, migodi yetu hifadhi zetu.
SAMIA 0 - 1 MoroccoMatokeo ni aje mpaka sasa?
Mkuu we mbadCorrect score 0:1,0:2
Ulikuwa umemdhamini mama?Crown imeyeyaView attachment 3449487 kipa apewe hii