Usikute Mwanamke ndio mwenye sauti labda🤔Kama ni utani sawa ila mke kukupangia kukupa k mpaka Tanzania wapate goli ni upuuzi
Tz haipati goli na Leo ndo unatakiwa kumpiga goli za kutosha aacha upuuzi,
Mimi napenda timu inayocheza vizuri...Natamani waongeze 2.
Mnashinda njaaHii gemu tunashinda
Fullstop, kwishaaa
Ilikuwa suala la muda tuHii timu bora iage tu mashindano turudi kwenye moto wa NRNE
Tunacheza na Wa Hispania,😃Ngoma ngumu, Morocco wako good