Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Umenipiga fala weweMliipa ccm ushindi ..taifa star ni ccm kama yanga tu
Umenipiga fala weweMliipa ccm ushindi ..taifa star ni ccm kama yanga tu
Atupe viwanja vyetu hatutakubali ujanjaujanja ooh mara vinamchakato hatutaki,atukabidhi hati zetuChalamila yeye hapongezwi?
Pole sana, kamua sticks hizo
Aliwafunga mbonaHii Morocco Kenya angeifunga
Hatuna wachezaji competitor simba yanga na Azam inabidi watengeneze wazawa kwa masilahi ya taifaSopu hamna kazi pale
Kenya walikufa kiume tz walikufa kikikeKwa hiyo Tanzania na Kenya wote kif kif
Pole sana, kamua sticks hizo
Watu wagegedane tuu kupoza machungujaman twendeni jukwaa la mapenz tukatulizane mioyo hukoo
Chalamila yeye hapongezwi?kumbePongezi zetu zote ni kwa mama
Atupe viwanja vyetu hatutakubali ujanjaujanja ooh mara vinamchakato hatutaki,atukabidhi hati zetu
Sipati picha shangwe lililopo Nairobi sasa hivi watu Wana kula Bata tuKenya walikufa kiume tz walikufa kikike
Kiaje mkuu?
PIGA MAVISipati picha shangwe lililopo Nairobi sasa hivi watu Wana kula Bata tu
Fullstop, kwishaa