ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Vita gani? Mama ana nyota unavyozidi kumchukia ndio unamsafishia nyota 😁😁Unapenda Vita wewe 😂
Vita gani? Mama ana nyota unavyozidi kumchukia ndio unamsafishia nyota 😁😁Unapenda Vita wewe 😂
Tumewamudu vizuri tu 1st half. Kama tungekuwa makini zaidi kidogo tu tungekuwa tunaongoza.Hawa jamaa sio level yetu.
Mwamba kabisaa
naamMkata Umeme
Uchawi huu.Goooool Morocco 1
Lazima tiwapige 2, subiri kipindi cha pili utaona, Morocco tunatupia 2Uchawi huu.
Hapana Kocha hatuna ni level ya ligi yetu ndio inacheza hapo. Kocha anacheza so defensive hivyo kuwapa wao mwanya wa kuupiga mwingi na ukizingatia wao wanacheza mchezo wakushambulia.Hawa jamaa sio level yetu.
Timu yetu haina kocha kakanilevel ya ligi nfio inacheza hapo.Nina uhakika huujui mpira au kuucheza. Kwa presha waliyonayo Morocco dhidi ya mashabiki kwa Mkapa wangekuwa wa kawaida washafungwa.
Angalia perfomance ya Morocco, iko very high wanapokuwa na mpira au kuupoteza.
Huwa anachezea timu ipi ya Taifa? Angekuwa bora angeitwa kwenye Taifa lake. Wacha ushabiki maandazi.Starz inamkosa mtu kama Pacome.
Tanzania inapambana.Lazima tiwapige 2, subiri kipindi cha pili utaona, Morocco tunatupia 2
YesIle nafasi ya Mzize
Hii ishakula kwangu nilishamfanyia kwa Man Na Arsenal juzi...leo zamu yangu 🤣Aisee hii nayo kazi kweli kweli