CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

Hii ishakula kwangu nilishamfanyia kwa Man Na Arsenal juzi...leo zamu yangu 🤣
Nakumbuka alinambia nitapata tu mechi we tulia...kaangukia kwa Stars 🤣
Ikiwa penati?
10-09?
 
Ila Tz kwa sasa wanacheza mpira mzuri , wachezaji wageni kwenye vilabu wameleta competition ambayo imesaidia improvement ya wachezaji wa ndani , wanapiga mpira safi
Positive impact ya wachezaji wa kigeni imewafanya local players kuongeza kiwango lakin pia michuano ya kimataifa

impact inaonekana, si ule mpira wa maneno wa zamani
 
Back
Top Bottom