CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,493
Reaction score
18,387

CHAN 2024 – Robo Fainali
πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania vs Morocco πŸ‡²πŸ‡¦

πŸ“ Uwanja wa Mkapa, Dar
⏰ Saa 2 Usiku

Tanzania kwa mara ya kwanza tumefika robo fainali ya CHAN.

Morocco ni mabingwa mara mbili (2018 & 2020), wana uzoefu mkubwa.

Taifa Stars imeruhusu goli 1 pekee hatua ya makundi, lakini Morocco walifunga 8 inaonyesha nguvu yao ya ushambuliaji.

Hii ni mara ya kwanza timu hizi kukutana CHAN.

Mechi ngumu, Tanzania tukiwa na faida ya uwanja wa nyumbani na mashabiki, Morocco wakitegemea ubora na uzoefu.

Tukutane hapa kwa ajili ya
πŸ”΄ Live Updates.

Updates ...
Vikosi

1.Morocco


2. Tanzania
 
CCM Wana Mfumo wa KUIBA KURA

 
Mtajijua wenyewe na li timu lenu la CCM! Oktoba hakuna kupiga kura
 
Mimi kwa kweli sina muda wa kujipa presha na timu ambayo ikishinda sifa anapewa mtu mwingine. Kwa hiyo nitaangalia huo mchezo huku nikiwa neutral. Yeyote atakayeshinda, sawa tu.
Kama wewe ni mtanzania lazima kimoyomoyo kipresha kiwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…