CHAN Finals: Live from Ivory Coast

CHAN Finals: Live from Ivory Coast

Yani timu ikishinda kunaraha zake, kama ikiwezekana kuongeza mabao zaidi na tusiruhusu bao. Itakuwa rahisi mchezo unaofuata na Zambia. Lakini tukumbuke Zambia waliwashindahawa jamaa 3-0. Nina raha hapa kama nataka kupaa.
 
Mpaka hivi sasa wapenzi walio ndani ya uwanja ni 24, na wanaosubiri kuingia uwanjani ni 51. Nadhani wataingia kabla mechi haijaisha....

Currently Active Users Viewing This Thread: 75 (24 members and 51 guests)
Mfumwa, Balantanda, Ben, Chuma, First Lady, Hofstede, Juakali, KGM, Kuntakinte, Lusajo, macinkus, MkamaP, mtimti, Mtu wa Kawaida, Mugo"The Great", Ndugu, njilembera, Nziku, Pasco, PingPong, Shakazulu, share, YE, Yo Yo
 
Nina raha kweli,saa saba na nusu huku na usingizi umepotea kabisa.timu yetu ikirudi ikaze buti maana huwa tunafungwa kipindi cha au kuawazisha.wawe makini
 
mpaka sasa tanzania wanaongoza kwa goli moja, fata link hii.......... ni tv station ya senegal inaonesha game hii Worldwide Television streams. then chagua senegal utaona station moja hapo inaitwa RTS1. mungu ibariki TZ. Nipo na wa ivory-coast hapa nabwabwaja mpaka wanataka nifukuza.
 
Yo Yo,

Jk ni shabiki wa timu inayoshinda wakati huo tu.....anahama timu kama vile ni chama cha siasa bwana!
 
Yo Yo,

Jk ni shabiki wa timu inayoshinda wakati huo tu.....anahama timu kama vile ni chama cha siasa bwana!
 
Naona hawa jamaa wameingia mitini na kuonesha mipira yaani kotekote hamna kitu. kuna mtu ana link ingine jamani, au update tu vipi kinaendelea nini huko?
 
Naona hawa jamaa wameingia mitini na kuonesha mipira yaani kotekote hamna kitu. kuna mtu ana link ingine jamani, au update tu vipi kinaendelea nini huko?
nilidhani ni mimi tu, yani na mtandao wa JF ulisumbua. Channels zote hata aliyotoa Mwanakijiji hakuna kitu. Tuombe tu watupe updates kwa wanaoona.
 
Back
Top Bottom