CHAN Finals: Live from Ivory Coast

CHAN Finals: Live from Ivory Coast

wenye mitandao yao wameamua kutuyeyusha.
 
wenye mitandao yao wameamua kutuyeyusha.

Du hii noma sasa cha muhimu ni kuomba matokea yabaki vilevile. Yaani kuna dhoruba limeingia JF ikawa haipatikani, hawa jamaa nao wanatuonesha taarifa ya habari na ngoma za kienyeji. Au wenyeji wamehujumu broadcast nini teh teh teh. Mungu Bariki Sisi
 
Wakuu tunaomba matokeo, na hali ya mchezo kwa jumla, dakika ya ngapi mpaka sasa?.
 
endelea kutujurisha mkuu mwenyewe maana huku tumbo linatetemeka vibaya
 
Dah,

Walau nimefurahiiii. Hata wife naona hakulala mpaka aone final results. Full uzalendo
 
Back
Top Bottom