lazima tushinde ili tuendelee
Dakika ya 65, Senegal na Ivory Coast bila bila. Naomba Ivory Coast washinde.
Lakini tunatakiwa kushinda na si kusubiri matokeo mengine
senegal wameshinda?Wasenegal washapita kaka, na wazambia lazima wapane
81' Ivory Coast 0 - 0 Senegal
82' Zambia 0 - 0 Tanzania