CHAN Finals: Live from Ivory Coast

CHAN Finals: Live from Ivory Coast

Haya bwana hii ndo football!Taifa stars tunawasubiri kwa hamu uwanja wa ndege!najua mtakuja na visingizio kibao!
 
Jiko limelaliwa na paka hili........hamna kitu tena....tusubiri maximo atatupa sababu gani
unaanza lawama kama za wazee wa simba na yanga........15 mins just waiti kuwa na subira
 
Bado nakodolea macho tarakilishi changu hapa......Mungu si asumani...pengine yakatokea maajabu ....mliobinya nanihiii....ziachieni jamani eeehhh....mganga kakosea madawa...tulikuwa tuwabinyie jamaa lakini sangoma kakosea jina...
 
87' Ivory Coast 0 - 0 Senegal
88' Zambia 0 - 0 Tanzania
 
Jiko limelaliwa na paka hili........hamna kitu tena....tusubiri maximo atatupa sababu gani
nilisoma Gazeti silikumuki alishaanza kusema akirudi atabadili wachezaji kama 7. Mimi nadhani angeabaki na kikosi chake, kubadilibadili kila siku wachezaji wapya uzoefu wa mashindano ya kimataifa unakuwa hakuna. Na hilo gazeti waliandika ana bifu na Maftah, Idd na Moshi
 
90' Ivory Coast 0 - 0 Senegal
90'+ Zambia 0 - 0 Tanzania
 
Hivi huyu Ngosi offside ngapi anataka ili ajijue kama jamaa wanamtegea??????
 
Huku DKK 5 Zimeongezwa. Ivory Coast lazima washinde kulinda heshima
 
Back
Top Bottom