Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wazee....... nipeni link, niangalie hiyo game ya senegal
unaanza lawama kama za wazee wa simba na yanga........15 mins just waiti kuwa na subiraJiko limelaliwa na paka hili........hamna kitu tena....tusubiri maximo atatupa sababu gani
nilisoma Gazeti silikumuki alishaanza kusema akirudi atabadili wachezaji kama 7. Mimi nadhani angeabaki na kikosi chake, kubadilibadili kila siku wachezaji wapya uzoefu wa mashindano ya kimataifa unakuwa hakuna. Na hilo gazeti waliandika ana bifu na Maftah, Idd na MoshiJiko limelaliwa na paka hili........hamna kitu tena....tusubiri maximo atatupa sababu gani
87' Ivory Coast 0 - 0 Senegal
88' Zambia 0 - 0 Tanzania
Ubovu wenyewe leo Stars wamecheza kama Simba.......butubutu bila akili!
Ubovu wenyewe leo Stars wamecheza kama Simba.......butubutu bila akili!