CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Mchezo wa kufuzu mashindano ya CHAN umemaliza kwa Timu ya Taifa ya Tanzania kushinda kwa magoli mawili dhidi ya goli moja kwa Sudani. Mechi ya awali, Timu ya Taifa ya Sudan ilishinda kwa goli moja. Taifa Starz imefuzu kwa ya faida ya magoli mawili ya ugenini.

====


Tanzania yafuzu fainali za CHAN mwaka 2020 kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009. Ni baada ya kushinda 2-1 dhidi ya Sudan na kufuzu kwa faida ya goli la ugenini.

Magoli ya Tanzania kwenye mchezo wa leo yamefungwa na Erasto Nyoni dakika ya 49 na Ditram Nchimbi dakika ya 78.

FT | Sudan 1-2 Tanzania (Agg: 2-2)
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Wazee wa chenga twawala! Nawatakia kila la heri, ingawa ukweli mchungu. Timu inacheza mechi tano halafu inafunga magoli mawili tu!

Kufuzu hapa ni majaliwa tu. Tulishakosea mechi ya mwanzo kuruhusu goli kwenye uwanja wetu wa nyumbani.
 
Huyu kimenya ni gap ingawa bado mapema lakini dalili ya mvua ni mawingu
 
Haya mashindano bora Tz isiwepo tuwe tunaendelea na ligi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…