mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Mchezo wa kufuzu mashindano ya CHAN umemaliza kwa Timu ya Taifa ya Tanzania kushinda kwa magoli mawili dhidi ya goli moja kwa Sudani. Mechi ya awali, Timu ya Taifa ya Sudan ilishinda kwa goli moja. Taifa Starz imefuzu kwa ya faida ya magoli mawili ya ugenini.
====
Tanzania yafuzu fainali za CHAN mwaka 2020 kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009. Ni baada ya kushinda 2-1 dhidi ya Sudan na kufuzu kwa faida ya goli la ugenini.
Magoli ya Tanzania kwenye mchezo wa leo yamefungwa na Erasto Nyoni dakika ya 49 na Ditram Nchimbi dakika ya 78.
FT | Sudan 1-2 Tanzania (Agg: 2-2)