CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

Ila kama umezoea kuangalia mpira wa one touch
huu wetu wa wachezaji wa simba na yanga unaona kama tu sisimizi wanavyogombania kulamba sukari
 
Kama hujui uliza,magoli yakilingana anapita mwenye goli nyingi za ugenini.
Jamaa aliuliza ikitokea Sudan wamechomoa NA game ikaisha kwa 2-2 itakuwaje?
Ndiyo nikamjibu aggregate inakuwa 3-2 faida kwao, umesoma kwa mihemuko hukuelewa, rejea tens kuisoma post yangu.
 
Nchimbi amejitahidi sana hasa kutafuta mipira, pia kuwa na pumzi kipindi chote cha mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…