CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

Wahenga walishasema ukiwa na kiongozi mtukufu juu ,mambo yanabadilika na kuwa ya kitukufu mpaka chini na ukiwa na kiongozi fisadi juu ,mambo yanabadilika na kuwa ya kifisadi mpaka chini.

Baada ya Tanzania kupata rais jembe kweli kweli mambo yamebadilika hadi kwenye michezo na sasa hivi Tanzania siyo kichwa cha mwendawazimu tena.

Kama tulivyowashinda wazee wa tutashitakiwa MIGA ,leo tumewashinda tena Sudan.

# Taifa stars kanyaga mpaka CHAN#
 
Live match second half:

Full time : Results

Sudan 1 - 2 Tanzania CHAN-2020

Ditram Nchimbi goli lake dakika ya 76 yaipa ushindi ugenini Tanzania ktk mashindano kuelekea fainali za CHAN 2020 zitakazofanyika Cameroon

BASHITE katika ubora wako, raha sana kuzaliwa Tanganyika😂
 
Kama hujui uliza,magoli yakilingana anapita mwenye goli nyingi za ugenini.
Mkuu post yangu umeisoma kwa mhemko hukuielewa au hujailewa hii kanuni ya goli LA ugenini kama wasivyoifahamu wengine.
Nilichomjibu jamaa ni kuwa aliuliza iwapo Sudan watochomoa NA game iishe kwa 2-2 nani anatoka? Nikamjibu stars tutatoka coz aggregate itakuwa 3-2 in favour of Sudan kwa kuwa walipokuwa tz walitufunga moja bila. Rejea kuisoma post yangu mkuu.
 
2009 tulimpiga nje ndani huyo sudani tukafuzu chani bilashaka ilikuwa ni juhudi sio?
 
Ikiwa mpo sare kwa magoli yaliyofungwa, basi kila goli lililofungwa UGENINI, yanahesabiwa kuwa ni mawili. Sudani walitufunga 0:1. Kwetu. Nasi kwao tumewafunga 1:2. Hivyo imekuwa 3:4
Huu uongo,hakuna cha goli moja la ugenini kuwa mawili,ni mwenye goli nyingi za ugenini anasonga mbele.leo agregste ni 2_2 ila Tz inasonga kwa goli nyingi za ugenini.Hakuna cha 3_4 wala nini magoli ni 2_2 ila Tz ana 2 za ugenini na Sudan ana 1 la ugenini
 
Vipi anaendeleaje?
Wahenga walishasema ukiwa na kiongozi mtukufu juu ,mambo yanabadilika na kuwa ya kitukufu mpaka chini na ukiwa na kiongozi fisadi juu ,mambo yanabadilika na kuwa ya kifisadi mpaka chini.

Baada ya Tanzania kupata rais jembe kweli kweli mambo yamebadilika hadi kwenye michezo na sasa hivi Tanzania siyo kichwa cha mwendawazimu tena.

Kama tulivyowashinda wazee wa tutashitakiwa MIGA ,leo tumewashinda tena Sudan.

# Taifa stars kanyaga mpaka CHAN#
 
Mkuu post yangu umeisoma kwa mhemko hukuielewa au hujailewa hii kanuni ya goli LA ugenini kama wasivyoifahamu wengine.
Nilichomjibu jamaa ni kuwa aliuliza iwapo Sudan watochomoa NA game iishe kwa 2-2 nani anatoka? Nikamjibu stars tutatoka coz aggregate itakuwa 3-2 in favour of Sudan kwa kuwa walipokuwa tz walitufunga moja bila. Rejea kuisoma post yangu mkuu.
Hata hivyo kuna hakuna haka ya aggregate kwa kuwa game ya kwanza alishinda NA ya Pili Mme draw, so unatoka uliyepoteza game ya awali
 
kuna wakati watu wanaweza kusababisha mtu ukaanza kuchukia mtu ambaye hata huna ttzo naye, kwa xbu ya kujipendekeza tu hadi inakera...hiyo kasi ilikosekanaje kule Gabon?
 
Back
Top Bottom