Umeona broo kweli mungu ni wetu
Una maana ya mungu au Mungu????? tehtehtehtehteh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona broo kweli mungu ni wetu
Mkuu post yangu umeisoma kwa mhemko hukuielewa au hujailewa hii kanuni ya goli LA ugenini kama wasivyoifahamu wengine.Kama hujui uliza,magoli yakilingana anapita mwenye goli nyingi za ugenini.
AiseeeUnampa Mungu kazi ngumu sana kwa hii timu,maana hata yeye haoni pakutusaidia
OmoJamaa aliuliza ikitokea Sudan wamechomoa NA game ikaisha kwa 2-2 itakuwaje?
Ndiyo nikamjibu aggregate inakuwa 3-2 faida kwao, umesoma kwa mihemuko hukuelewa, rejea tens kuisoma post yangu.
Usiku mwemaNashuhudia mchezo kati ya Tanzania na Sudan kweli ni aibu na inasikitisha. Wale wachezaji walichaguliwa kwa kufuata kigezo gani?. Hivi kocha wao ni kocha kweli. Nimefunga luninga yangu na kwenda kulala.
Huu uongo,hakuna cha goli moja la ugenini kuwa mawili,ni mwenye goli nyingi za ugenini anasonga mbele.leo agregste ni 2_2 ila Tz inasonga kwa goli nyingi za ugenini.Hakuna cha 3_4 wala nini magoli ni 2_2 ila Tz ana 2 za ugenini na Sudan ana 1 la ugeniniIkiwa mpo sare kwa magoli yaliyofungwa, basi kila goli lililofungwa UGENINI, yanahesabiwa kuwa ni mawili. Sudani walitufunga 0:1. Kwetu. Nasi kwao tumewafunga 1:2. Hivyo imekuwa 3:4
Wahenga walishasema ukiwa na kiongozi mtukufu juu ,mambo yanabadilika na kuwa ya kitukufu mpaka chini na ukiwa na kiongozi fisadi juu ,mambo yanabadilika na kuwa ya kifisadi mpaka chini.
Baada ya Tanzania kupata rais jembe kweli kweli mambo yamebadilika hadi kwenye michezo na sasa hivi Tanzania siyo kichwa cha mwendawazimu tena.
Kama tulivyowashinda wazee wa tutashitakiwa MIGA ,leo tumewashinda tena Sudan.
# Taifa stars kanyaga mpaka CHAN#
Hata hivyo kuna hakuna haka ya aggregate kwa kuwa game ya kwanza alishinda NA ya Pili Mme draw, so unatoka uliyepoteza game ya awaliMkuu post yangu umeisoma kwa mhemko hukuielewa au hujailewa hii kanuni ya goli LA ugenini kama wasivyoifahamu wengine.
Nilichomjibu jamaa ni kuwa aliuliza iwapo Sudan watochomoa NA game iishe kwa 2-2 nani anatoka? Nikamjibu stars tutatoka coz aggregate itakuwa 3-2 in favour of Sudan kwa kuwa walipokuwa tz walitufunga moja bila. Rejea kuisoma post yangu mkuu.
Hizi comments za hivi ndo huiua timu. Issues za kuidharau nchi yetu na kujibeza ndo kunatugharimu.HT Sudan1-0Kichwa cha mwendawazimu