mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
- Thread starter
- #101
Umeona broo kweli mungu ni wetuNgoja tusubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona broo kweli mungu ni wetuNgoja tusubiri
Jamaa aliuliza iwapo jamaa wangechomoaa iwe 2-2 ingekuwaje3-2 wapi tena mkuu
Kama hujui uliza,magoli yakilingana anapita mwenye goli nyingi za ugenini.3-2 wapi tena mkuu
Huyo nyoni ni penalt?Hatimaye Erasto nyoni na ditram nchimbi watutoa kimasomaso watanzania tanzania tukishnda 2 kwa 1 ugenin. Kwa matokeo haya CHAN tunaenda
Hukunielewa, pole mkuuKama hujui uliza,magoli yakilingana anapita mwenye goli nyingi za ugenini.
Hapana ni goal la Faulo lilopigwa kwa ufundiHuyo nyoni ni penalt?
Tuirsubtusubiri mapokezi sasa
Wakipokelewa kisiasa tu baasi,,,,,gundu litarudi tena
Ngoja tuone twitter ya ikulu mawasiliano alafu isutwe na akna @ZITTOKABWEtusubiri mapokezi sasa
Wakipokelewa kisiasa tu baasi,,,,,gundu litarudi tena
Jamaa aliuliza ikitokea Sudan wamechomoa NA game ikaisha kwa 2-2 itakuwaje?Kama hujui uliza,magoli yakilingana anapita mwenye goli nyingi za ugenini.
Ikiwa mpo sare kwa magoli yaliyofungwa, basi kila goli lililofungwa UGENINI, yanahesabiwa kuwa ni mawili. Sudani walitufunga 0:1. Kwetu. Nasi kwao tumewafunga 1:2. Hivyo imekuwa 3:42-2 tunatoka coz aggregate inakuwa 3-2 faida kwao
3-2 wapi tena mkuu
Pole sana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]