CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

Kwahiyo unataka uwe unashangilia kitu kibovu?usimlazimishe kila mtu awe na mawazo yako
 
Aisee mbona unaongea utumbo, yani jamaa hapo juu kakuelewesha lakini bado umetoka mweupe. DAAAAhhhh
Ungeweza kujibu kwa staha ili kufikisha ujumbe wsko. Naombs naomba nirudie tena tumeshinda kwa 4- 3 (kwa kuzingatia away goals) . Tunapataje hizo goal Tanzania 2 x 2 = 4 kwa vile zote ni za away. Sudan 1x2 (walilotufunga hapa) + 1 (goal LA Leo) = 3
Ahsante
 
Mzee umelewa nini?
Aggregate ni 2 - 2
Ungeweza kujibu kwa staha ili kufikisha ujumbe wsko. Naombs naomba nirudie tena tumeshinda kwa 4- 3 (kwa kuzingatia away goals) . Tunapataje hizo goal Tanzania 2 x 2 = 4 kwa vile zote ni za away. Sudan 1x2 (walilotufunga hapa) + 1 (goal LA Leo) = 3
Ahsante
 
Wadau naomba niwakumbushe kwamba katika mojawapo ya mechi Taifa star tuliyoshinda ugenini 2-1 dhidi ya Burkina Faso Coach alipokuwa Maximo. Mojawapo ya wafungaji wa hiyo match alikuwa Erasto Nyoni. Ahsante
Yaliyopita si ndwele....sisi tushasahau hayo na tuko katika kusahau game ya Leo..tuna focus ya mbele ...mbere kwa mbere...CHAN 2020 here we come

"Billionaire thought"
 


Hongera Sana Kwa "Magufuli Boys"

Na Mwamba wa Kaskazini

Nililala mapema leo, lakini nimeamka kusema jambo moja tu; hongera Taifa Stars, hongera Magufuli Boys, heshima nyingine katika miaka hii ya kazitu.

Asanteni sana, niliona niamke haraka usiku huu kuwapa pongezi Vijana wa Magufuli.

Hongereni pia Watanzania, hongera Serikali kwa kuwekeza katika michezo, hongereni wachezaji.

Alamsiki.

Niite Mwamba, Mwamba, Mwamba wa Kaskazini
 
Aiseeeeeeee
Sawa usiku mwema
 
Leo nimeamini wachezaj wa gongowazi huwa wana gundu kwenye timu ya taifa,leo hakuwepo hata mmoja na tumeshinda[emoji3][emoji3]
 
Nawapa Taifa Stars Mkono wa Kongole sana kwa Kuendelea kupeperusha vyema Bendera ya Tanzania katika Mlima Kilimanjaro🇹🇿
 
Usikute huyo Jamaa ni Makonda hawajui kitu Ila wanakomaa

Kesho wana scarf wapo airport kujifanya mwenyekiti WA kamati
Naomba nirudie tena tumeshinda kwa 4- 3 (kwa kuzingatia away goals) . Tunapataje hizo goal Tanzania 2 x 2 = 4 kwa vile zote ni za away. Sudan 1x2 (walilotufunga hapa) + 1 (goal LA Leo) = 3
Ahsante
 
Kama game ya Leo Tanzania ingetoka 2:2 na Sudan automatic Tungetoka kwa maana ya kwamba Sudan walipata goal kwetu bila sisi kupata goli lolote hivyo wakafaidika kwa kuwa na goli LA ugenini ambalo kinamba huwa haliandikwi.



Leo Tanzania wamepata goli 2 ambapo automatic wamewapoka Sudan faida ya goli LA ugenini kwa kutumia namba 2 ambayo ni kubwa kuliko moja!!

Baada ya matokeo ya Leo kuwa 2:1 yakatengeneza aggregate ya 2:2 suala likarudi Nani amefunga nyingi zaidi ugenini? Jibu nipe Tanzania!! ,kwa hiyo Tanzania akapewa faida ya away goal AKAFUZU!! wengi huchanganya kana kwamba magoli ya faida nayo huhesabiwa kama namba za kuhesabia sio hivo!!!,


Hata ukicheki aggregate mpaka kesho itaonesha 2:2 hivyo Tanzania imenufaika kwa kufunga bao nyingi away !! Kama hujaelewa nipigie 0757939491
Ntakuelewesha maana Mimi kitaaluma mi mwl wa Chekechea darasa ambalo ni gumu kuliko yote Duniani!! Naomba kuwasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…