Kama game ya Leo Tanzania ingetoka 2:2 na Sudan automatic Tungetoka kwa maana ya kwamba Sudan walipata goal kwetu bila sisi kupata goli lolote hivyo wakafaidika kwa kuwa na goli LA ugenini ambalo kinamba huwa haliandikwi.
Leo Tanzania wamepata goli 2 ambapo automatic wamewapoka Sudan faida ya goli LA ugenini kwa kutumia namba 2 ambayo ni kubwa kuliko moja!!
Baada ya matokeo ya Leo kuwa 2:1 yakatengeneza aggregate ya 2:2 suala likarudi Nani amefunga nyingi zaidi ugenini? Jibu nipe Tanzania!! ,kwa hiyo Tanzania akapewa faida ya away goal AKAFUZU!! wengi huchanganya kana kwamba magoli ya faida nayo huhesabiwa kama namba za kuhesabia sio hivo!!!,
Hata ukicheki aggregate mpaka kesho itaonesha 2:2 hivyo Tanzania imenufaika kwa kufunga bao nyingi away !! Kama hujaelewa nipigie 0757939491
Ntakuelewesha maana Mimi kitaaluma mi mwl wa Chekechea darasa ambalo ni gumu kuliko yote Duniani!! Naomba kuwasilisha