CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

Huu uongo,hakuna cha goli moja la ugenini kuwa mawili,ni mwenye goli nyingi za ugenini anasonga mbele.leo agregste ni 2_2 ila Tz inasonga kwa goli nyingi za ugenini.Hakuna cha 3_4 wala nini magoli ni 2_2 ila Tz ana 2 za ugenini na Sudan ana 1 la ugenini
Nimegundua watu wengi kumbe hawaifahamu hii kanuni, wanaleta stories za magoli kuongeza kuwa mawili, nimecheka sana.
 
Nashuhudia mchezo kati ya Tanzania na Sudan kweli ni aibu na inasikitisha. Wale wachezaji walichaguliwa kwa kufuata kigezo gani?. Hivi kocha wao ni kocha kweli. Nimefunga luninga yangu na kwenda kulala.
Lala unono Mkuu
 
Sasa mbona hujaweka namba ya simu!!
Utatupa kazi kukutafuta nafasi za teuzi zikitoka.
 
Acha ujua, sliyekwambia jezi ucheza Mpira ni nani, mawazo kama yako ndiyo yanatufanya tuendelee kuwa kichwa cha kichaa. Badala ya kudeal na tatizo tunadeal na na mavazi, tubadilike ndugu zangu, bila hivyo hatutoboi
Mbumbumbu hiyo isamehe..
 
Wakati watanzania wengi tukilala kwa furaha kuna baadhi ya watanzania Wana lala kwa huzuni kuliko hata wasudani wenyewe.....bongo uchawi upo hadi kwenye mifupa
 
Huu uongo,hakuna cha goli moja la ugenini kuwa mawili,ni mwenye goli nyingi za ugenini anasonga mbele.leo agregste ni 2_2 ila Tz inasonga kwa goli nyingi za ugenini.Hakuna cha 3_4 wala nini magoli ni 2_2 ila Tz ana 2 za ugenini na Sudan ana 1 la ugenini
Hapana, magoli ya ugenini yanaangaliwa mnapokuwa mpo sawa, mfano kwa matokeo ya Leo INA maana matokeo in 2-2 bila kuangalia matokeo (magoli) ya home au away. Sasa baada ya matokeo kuwa 2-2 magoli ya ugenini yakahesabiwa hivyo Tanzania ikashinda 4 kwa 3 za sudani. Ahsante
 
  • Thanks
Reactions: KGM
Wazee wa chenga twawala! Nawatakia kila la heri, ingawa ukweli mchungu. Timu inacheza mechi tano halafu inafunga magoli mawili tu!

Kufuzu hapa ni majaliwa tu. Tulishakosea mechi ya mwanzo kuruhusu goli kwenye uwanja wetu wa nyumbani.
Mbona tumeshinda[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mchezo wa kufuzu mashindano ya CHAN umemaliza kwa Timu ya Taifa ya Tanzania kushinda kwa magoli mawili dhidi ya goli moja kwa Sudani. Mechi ya awali, Timu ya Taifa ya Sudan ilishinda kwa goli moja. Taifa Starz imefuzu kwa ya faida ya magoli mawili ya ugenini.

====

Tanzania yafuzu fainali za CHAN mwaka 2020 kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2009. Ni baada ya kushinda 2-1 dhidi ya Sudan na kufuzu kwa faida ya goli la ugenini.

Magoli ya Tanzania kwenye mchezo wa leo yamefungwa na Erasto Nyoni dakika ya 49 na Ditram Nchimbi dakika ya 78.

FT | Sudan 1-2 Tanzania (Agg: 2-2)
View attachment 1237611
View attachment 1237609
Samahani mkuu Aggregate ni 4(tz) 3(Sudan). Ahsante
 
Hatuna timu Tanzania
 
Hapana, magoli ya ugenini yanaangaliwa mnapokuwa mpo sawa, mfano kwa matokeo ya Leo INA maana matokeo in 2-2 bila kuangalia matokeo (magoli) ya home au away. Sasa baada ya matokeo kuwa 2-2 magoli ya ugenini yakahesabiwa hivyo Tanzania ikashinda 4 kwa 3 za sudani. Ahsante
Aisee mbona unaongea utumbo, yani jamaa hapo juu kakuelewesha lakini bado umetoka mweupe. DAAAAhhhh
 
Hivi kwanini pesa zinazotumiaka kwaajili ya taifa stars zisitomike kuwaanda wale madogo akina kelvin john waliotwaaa ubingwa baada ya miaka kadhaa ndo tushiriki
Viuongo hamna yule Mudhari Yahaya yupo wapi?
 
Back
Top Bottom