Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hahusiki mkuu wangu.. CHAN ni wachezaji wa ndani tu sio waliokwea pipa majuuMbwana Samatta alikuwepo dimbani?
Inaonekana huelewi chochote kwenye CHAN[emoji23][emoji23][emoji23]Mbwana Samatta alikuwepo dimbani?
Haya mashindano ni ya wachezaji wa ndani tuu, kumbe wewe na michezo tofauti ila siasa hupitwi. Jichanganye na michezo pia.Mbwana Samatta alikuwepo dimbani?
5 tenaTaifa stars imeanza vibaya huko Cameroon dhidi ya Zambia kwa kulala 2-0.
Nadhani rais atatekeleza ahadi Yake ya kutumbua waziri wa michezo ingawa hakucheza.
Naona Adam Adam kapiga shot 7 on target peke yake.Simba na yanga zinatuchelewesha
Au nasema uongo ndugu zangu!
Wanacheza kibinafsi sana na kubutua butuaHayo ni mawazo yako....
Yaheshimiwe
Hao wachezaji wakija wapelekwe NEC wakajifunze jinsi ya kupata ushindi kwa mbinu yoyote ileWamepewa ndege ya serikali;
Wanatumia rasilimali za serikali, halafu wanakwenda kubutua butua!
Kama ambavyo wakifanya vizuri huzawadiwa zawadi ikiwemo viwanja!
Awamu hii kama inawezekana Wacharazwe bakora wakirejea bongo kama zawadi!
Team iko disorganized, pupa na papara, hovyo kabisa! Na ukichanganya na jezi zao inakuwa utopolo squareHao wachezaji wakija wapelekwe NEC wakajifunze jinsi ya kupata ushindi kwa mbinu yoyote ile
Hahahaaaa..... Hujajibu swali bwashee!Inaonekana huelewi chochote kwenye CHAN[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa......... Hii ndio ile timu ya Piere Liquid!!!Haya mashindano ni ya wachezaji wa ndani tuu, kumbe wewe na michezo tofauti ila siasa hupitwi. Jichanganye na michezo pia.
Hasa Utopolo. Yule mchezaji wa utopolo kakosa goal la wazi kabisa.Simba na yanga zinatuchelewesha
Au nasema uongo ndugu zangu!