CHAN2021: Mchezo umemalizika kwa Taifa Stars kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Zambia

CHAN2021: Mchezo umemalizika kwa Taifa Stars kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Zambia

Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
19,687
Reaction score
23,689
Taifa stars imeanza vibaya huko Cameroon dhidi ya Zambia kwa kulala 2-0.
Nadhani rais atatekeleza ahadi Yake ya kutumbua waziri wa michezo ingawa hakucheza.

===

#CHAN2021 Mchezo umemalizika kwa Taifa Stars kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Zambia.

Zambia 2-0 Tanzania
Sikombe 64' (P)
Chabula 81'

20210119_214951.jpg
 
Wamepewa ndege ya Serikali;
Wanatumia rasilimali za serikali, halafu wanakwenda kubutua butua!

Kama ambavyo wakifanya vizuri huzawadiwa zawadi ikiwemo viwanja!

Awamu hii kama inawezekana Wacharazwe bakora wakirejea bongo kama zawadi!
 
Jamani naomba tafsiri ya neno NDAYIRAGIJE nahisi kitu kibaya moyoni mwangu
 
Man of the match ni Collins kombe, nadhani Sasa Simba na yanga wataanza kumsaka Kama kawaida yao.
 
Wamepewa ndege ya serikali;
Wanatumia rasilimali za serikali, halafu wanakwenda kubutua butua!

Kama ambavyo wakifanya vizuri huzawadiwa zawadi ikiwemo viwanja!

Awamu hii kama inawezekana Wacharazwe bakora wakirejea bongo kama zawadi!
Hao wachezaji wakija wapelekwe NEC wakajifunze jinsi ya kupata ushindi kwa mbinu yoyote ile
 
Back
Top Bottom