MSUKUMA02
Senior Member
- Dec 12, 2011
- 179
- 243
Hivi vibarua vinavyotolewa na wabongo ni vya kitwana sana yani masaa yote hayo unalipwa elfu sita kwa siku?
Yani mara mia nikafanye kibarua cha kufagia ofisi za wachina wanicharange mapanga ila sio kwa hizi bata za kibongo
Kuna kipindi nilipomaliza kidato cha nne 2012 nilienda kupiga kibarua cha usafi TAZARA pale mbeya daaaah nilijionea kwa msimamizi wetu wa kibongo yani pesa tunayopaswa kulipwa ilikuwa ni 12,000 kwa siku ila cha ajabu yeye anatulipa 6,000 daaaah
Alafu kitu nilichojionea kwa hawa vibarua huko huwa hawana sehemu yeyote ya kushitakia wala kutoa malalamiko yani wakikuona tu unawadindia wanakufuta kwenye kibarua chap kwa haraka
Kiukweli serikali iliangalie hili suala la hawa vibarua wapate haki zao kama ilivyo kwa waajiriwa