Changamkieni Fursa za AJIRA Kiwanda cha sukari Turiani-Mtibwa May 2020

Changamkieni Fursa za AJIRA Kiwanda cha sukari Turiani-Mtibwa May 2020

Hivi vibarua vinavyotolewa na wabongo ni vya kitwana sana yani masaa yote hayo unalipwa elfu sita kwa siku?

Yani mara mia nikafanye kibarua cha kufagia ofisi za wachina wanicharange mapanga ila sio kwa hizi bata za kibongo

Kuna kipindi nilipomaliza kidato cha nne 2012 nilienda kupiga kibarua cha usafi TAZARA pale mbeya daaaah nilijionea kwa msimamizi wetu wa kibongo yani pesa tunayopaswa kulipwa ilikuwa ni 12,000 kwa siku ila cha ajabu yeye anatulipa 6,000 daaaah

Alafu kitu nilichojionea kwa hawa vibarua huko huwa hawana sehemu yeyote ya kushitakia wala kutoa malalamiko yani wakikuona tu unawadindia wanakufuta kwenye kibarua chap kwa haraka

Kiukweli serikali iliangalie hili suala la hawa vibarua wapate haki zao kama ilivyo kwa waajiriwa
 
Siku niliyochoma nauli hadi huko mtibwa.... Huko si wafichi ni kajela kadogo ila kamefudhu ujela....

Malipo ni 6000 kwa siku pia asubuhi unakunywa uji tu na kurudi hakuna muda maalum hadi SA Tatu usiku waweza kurudi hapo piga hesabu tangu uji uliokunywa asubuhi Na kazi ngumu shamban + plus jua Kali lazima ufe
 
Kwa malipo haya bado kuna vilaza wanalinganisha maisha ya USA chini ya trump na Tz chini magu..

Rudini shuleni guys.
 
Siku niliyochoma nauli hadi huko mtibwa.... Huko si wafichi ni kajela kadogo ila kamefudhu ujela....

Malipo ni 6000 kwa siku pia asubuhi unakunywa uji tu na kurudi hakuna muda maalum hadi SA Tatu usiku waweza kurudi hapo piga hesabu tangu uji uliokunywa asubuhi Na kazi ngumu shamban + plus jua Kali lazima ufe
Kweli mbombo ngafu tena ngafiii,,, pole mdau wangu usilolijua usiku wa giza yani go and return to msamvu ni 18,000/= nilidhani kiwanda kipo karibu kutoka Mo town
 
Kweli mbombo ngafu tena ngafiii,,, pole mdau wangu usilolijua usiku wa giza yani go and return to msamvu ni 18,000/= nilidhani kiwanda kipo karibu kutoka Mo town
Kutoka msamvu hadi turiani ni mwendo wa masaa mawili.... Na pale unachukua bodaboda hadi manungu
 
Deadline tayari?
Hakuna deadline pale watu wanaenda wanapima upepo ukiona poa unabaki ila kama sio poa unatembea naskia, Hapajai kila cku wanahitaji watu wa kufanya kazi
 
Back
Top Bottom