Changamoto anayopitia Rayvanny, wacha sasa apambane mwenyewe

Hivi billion moja nyie wenzetu mnaichukuliaje?

pale wcb pesa haina thamani kabisa,tegemea kusikia story yoyote tu kwa pesa hii hii unayoijua.

kaka ana magari ya bilion kadhaa,akampa dada yake zawadi ya birthay gari la milion 7.
 
Narudia Tena,Ray ajiandae tu kupotea mazima kwenye ramani ya Muziki maana jamaa amepoa Sana ckuiz.
 
Narudia Tena,Ray ajiandae tu kupotea mazima kwenye ramani ya Muziki maana jamaa amepoa Sana ckuiz.
 
vijana wa kiume hizi hadithi waachieni dada zenu mnatuchanganya mwsho tunawahisi mna ushoga... Mtoto wa kiume unachambua maisha ya mwanaume mwenzako anayetafuta maisha wakat wew upo geto na masufuria na huna hata buku
Khaa!
 
Wazi utakuwa ni shabiki wa Harmonize na hizi ni moja ya propaganda mnazofanya ili mumshushe vannyboy hee umefeli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema lile li-Harmonize bishi mno. Yule ni sawa na asali kwenye ncha ya kisu yaani unapata utamu huku kisu kinakukata. Pia Harmonize kwa hapa Tz ni miongoni mwa wanamuziki wachache sana ambao hawabahatishi kipaji. Kuanzia sauti, kutunga hadi kuimba yuko juu. Kondeboy namweka kundi moja na King Kiba, Christian Bella, Papii Kocha, Lady JayDee na TID.

Rayvany kakuzwa sana bila kuwa na sifa stahiki. Rayvanny yuko sawa na Babalevo, Meja Kunta, Lavalava, Shishibaby na Hamisa.
 
C alikuwa anakwenda kumwagia minoti mam dangote alitegemea nn ilikuwa Ni lzm. Kufanya hvyo

Alf pia Ni lzm kila msaniii awe na lebel ilikufikia mafanikio ya kimsiki sioni sababu as long napata kila kitu Kam makaz Bora uhakika wa mshahara na mabonus inakuwa vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…