steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
Jamani ndugu zangu kunakitu hakipo sawa ndani ya bandari ya dar es salaam
Kuna uchekeweshwaji mkubwa wa kutoa mizigo kwenye bandari ya dar es salaam iko hivii meli zinashusha mizigo lakini mizigo bandarini haitoki sijui tatizo nini
Mfano mimi nina mizigo ya wateja tv zimeshuka tangu mwezi wa saba ila mzigo haujatoka mpaka leo nina simu za nokia pisi 1000 mzigo jna miezi mitatu haujatoka ingawa meli zilishusha tayari
Ninapoongea nimeanza kupewa tuhuma kuwa nimetapeli wateja wakati mizigo imefika na hawatoi
Bibafsi naomba mamlaka zifanye jitihada wanaivunjia heshima bandari wateja watakimbia