Changamoto bandari ya Dar es Salaam

Changamoto bandari ya Dar es Salaam

Kodi ipi? Sisi tunaosafirisha mizigo kupitia makampuni ya cargo bei tunayochajiwa ina conclude na kodi so swala la kodi sio jukumu langu mimi
Basi kampuni uliyotumia, ndio wamekupanga hivyo, wao ndio wana shida, sio bandarini.
 
Wee huzungumzi ukweli ! Haiwezekani miezi mitatu eti mizigo yako haijatoka ! We itakuwa ulitaka kukwepa ushuru mizigo yako ikazuiliwa na TRA ! Kama we mkweli weka namba ya mzigo wako tukupe jibu sasa hivi ya kuwa una tatizo gani ??
Kwa sasa inachukua siku ngapi kupata mzigo wako toka meli ifike nchini
 
Huyo cargo Aliekusafirishia anakudanganya. Mimi ni logistics officer wa kampuni kubwa. Najua kila kitu kuhusu clearence ya bandarini. Na muda gani contena likishushwa kwenye meli linapaswa liwe limeondoka.
Nina mzigo upo bandarini tayar njoo inbox tuyajenge
 
Back
Top Bottom