Wee huzungumzi ukweli ! Haiwezekani miezi mitatu eti mizigo yako haijatoka ! We itakuwa ulitaka kukwepa ushuru mizigo yako ikazuiliwa na TRA ! Kama we mkweli weka namba ya mzigo wako tukupe jibu sasa hivi ya kuwa una tatizo gani ??
Huyo cargo Aliekusafirishia anakudanganya. Mimi ni logistics officer wa kampuni kubwa. Najua kila kitu kuhusu clearence ya bandarini. Na muda gani contena likishushwa kwenye meli linapaswa liwe limeondoka.