fufumajeusi
Member
- Dec 21, 2024
- 38
- 61
wakuu napitia msoto sijui natokaje hapa nilipo, age yangu 29 yrs ,ni mtu mwenye ndoto kubwa lkn naona kila nikitafuta mafanikio naona kama napokea matatizo yakutosha.
elimu yangu nina bachelor ya economics and statistics (Baest tangu 2019) upande wa familia nina mtoto mmoja ,shughuli yangu kwa sasa ni kilimo cha mahindi na alizeti lkn tangu 2019-2025 mambo bilala smtm uhakika wa msosi na kodi ni kipengele! madeni ndio yanani sumbua sana.