fufumajeusi
Member
- Dec 21, 2024
- 38
- 61
- Thread starter
- #21
not bad and not good , while education life was goodHow was your past life ...( Love life...financial life.... family life... educational life)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
not bad and not good , while education life was goodHow was your past life ...( Love life...financial life.... family life... educational life)
Mkuu nlikuwa na madeni, nikapoteza marafk ambao nlikuwa nakunywa nao bia na kuwagawia pesa kipindi nna pesa. Nikauza gari, ikafika nikauza hadi kila ktu ndan nikabak na kitanda na sofa tu. Kodi ikanishinda nikabeba vitu nikapeleka kwa rafiki yangu akanipa chumba kwake. Nikageuka hadi kuwa kama houseboy kwake kwa miez 9.nipe mbinu ndugu yangu, muda mwingine nazima simu kisa madeni nadaiwa na watu binafsi mpaka taasis
Jaribu kuconsidere your spiritual life pengine kitu hakipo sawanot bad and not good , while education life was good
ulifanyaje afsa share strategy!Mkuu nlikuwa na madeni, nikapoteza marafk ambao nlikuwa nakunywa nao bia na kuwagawia pesa kipindi nna pesa. Nikauza gari, ikafika nikauza hadi kila ktu ndan nikabak na kitanda na sofa tu. Kodi ikanishinda nikabeba vitu nikapeleka kwa rafiki yangu akanipa chumba kwake. Nikageuka hadi kuwa kama houseboy kwake kwa miez 9.
Nikaona hapa nikiendelea kukaa sitoboi nikaondoka.
Nikaenda kukaa chumba kimoja kodi 30000, nikaanza upya kufanya jambo ambalo nikilisema hapa watu watabisha mpaka kesho na wala wakati naanza ilikuwa njaa tu sikutegemea kama itanlipa. It was just for surviving kqa muda huo ila ikanipa zaidi.
Ndani ya miezi 6 ilipoanza corona maisha yalianza kurudi kwa reli na sasa naweza kusema niko vzuri kuliko awali.
notedJaribu kuconsidere your spiritual life pengine kitu hakipo sawa
Mtoto mmoja si sawa kama huna hela, ongeza watoto kwanza wafike kuanzia 4 hapo akili itakaa sawa tuu, huyo mmoja anakulemaza.wakuu napitia msoto sijui natokaje hapa nilipo, age yangu 29 yrs ,ni mtu mwenye ndoto kubwa lkn naona kila nikitafuta mafanikio naona kama napokea matatizo yakutosha.
elimu yangu nina bachelor ya economics and statistics (Baest tangu 2019) upande wa familia nina mtoto mmoja ,shughuli yangu kwa sasa ni kilimo cha mahindi na alizeti lkn tangu 2019-2025 mambo bilala smtm uhakika wa msosi na kodi ni kipengele! madeni ndio yanani sumbua sana.
Mimi nimewahi kupitia changamoto kadhaa ila hata namna ambavyo nilizitatua tatua makosa namna ya kuelezea sana sana tuseme tu kuna nyakati huwa ni miracle inatokea kwa maana kuna muda unakutana na changamoto na unatumia akili zako zote za kawaida ila inashindikana baadae unaamua kutulia tu ya kwamba liwalo na liwe ila unajikuta kwenye nyakati ambazo hujazitarajia miracle inatokea na unabaki tu kushangaa.wakuu napitia msoto sijui natokaje hapa nilipo, age yangu 29 yrs ,ni mtu mwenye ndoto kubwa lkn naona kila nikitafuta mafanikio naona kama napokea matatizo yakutosha.
elimu yangu nina bachelor ya economics and statistics (Baest tangu 2019) upande wa familia nina mtoto mmoja ,shughuli yangu kwa sasa ni kilimo cha mahindi na alizeti lkn tangu 2019-2025 mambo bilala smtm uhakika wa msosi na kodi ni kipengele! madeni ndio yanani sumbua sana.
dah kodi kipengele mkuuKuna kipindi nilikuwa sina kazi na Sina Geto, Rafiki yangu alinipokea nikae kwao lakini ndani ya week aliniambia Chumba wanapangisha aisee niliangaika sana Kama mwezi pa kulala sipajui ila nashukuru mungu yalikuwa mapito..
ushauri mzuri kakaKitu chochote ukikichagua kinainuliwa moja Kwa moja.
Mfano umesema unalima (mkulima)
Jaribu kuwa unaamka usiku around.2:AM uiombee Kazi yako ili ipat kibali .
Kuhusu nyakati ngumu , Mimi huwa nazifananisha na mgeni ambaye huwa anakuja kukutembelea na kuondoka .
Kuhusu uchumi ni vizuri usitegemee chanzo kimoja cha mapato na hii ndo njia ya uhakika ya kuwa na unafuu wa maisha.
Mfano wewe kwakuwa umesoma basi unaweza kuwa smart broker wa mazao ya kilimo Kwa kuhakikisha unawatafutia masoko wakulima wenzako hii pia waweza kuitumia kujiongezea kipato.
Ntaendelea.....
noted chiefMimi nimewahi kupitia changamoto kadhaa ila hata namna ambavyo nilizitatua tatua makosa namna ya kuelezea sana sana tuseme tu kuna nyakati huwa ni miracle inatokea kwa maana kuna muda unakutana na changamoto na unatumia akili zako zote za kawaida ila inashindikana baadae unaamua kutulia tu ya kwamba liwalo na liwe ila unajikuta kwenye nyakati ambazo hujazitarajia miracle inatokea na unabaki tu kushangaa.
Kuna nyakati shida huwa zinamjilia mtu ili nguvu kuu ya ulimwengu iweze kujidhihirisha kupitia mtu huyo.
Ndio maana mara zote nikiwa nafanya mambo yangu huwa nafanya kwa kutimiza ule wajibu wangu ila yaliyobaki naiachia universe iamue.
So kama unakitu chochote ambacho unakiamini kwenye maisha yako ambacho huwa unakitumia kama kiunganishi chako na ulimwengu wa kiroho basi huu ni wakati sahihi wa kujiungamanisha nacho.
Lakini pia unatakiwa uelewe ya kwamba inawezekana hiko kitu unachokifanya kwaajiri ya kukuingizia pesa si kitu ambacho kinafungamana na wewe so jitahidi uendelee kujitafuta coz kwanza wewe bado ni kijana mdogo kwa maana upo kwenye umri wa try and error so usiogope kujaribu jaribu kwenye mambo yote ambayo unahisi moyo wako unayatamani kuyafanya kwa maana ndani ya mambo hayo lipo jambo moja ambalo limebeba hatima yako, na once ukilipata hautoweza kubaki kama ulivyo (na hii haijalishi kama unaamini au hauamini lakini hivi ndivyo ilivyo so endelea kupambana mkuu lakini usitumie muda mrefu kufanya jambo moja hasa ukishaona halileti matokeo unayoyatarajia)
I.miss you so much...I miss you
Mkuu nlianza kupiga online gigs mkuuulifanyaje afsa share strategy!
Sijambo, ulipoteaI.miss you so much...
Mzima wewe
skills ulipata vp, na unatumia platforms gani?Mkuu nlianza kupiga online gigs mkuu