fufumajeusi
Member
- Dec 21, 2024
- 38
- 61
Putting God first is the best experiencekama umewahi pitia changamoto mbali mbali na ukachomoka, nipe experience ulifanyaje iwe msaada kwangu na kwa wengine
Kuna kipindi nilitoka 100 hadi 0 yani hata kula haikuwa uhakika yani nlipoteza matumaini.wakuu napitia msoto sijui natokaje hapa nilipo, age yangu 29 yrs ,ni mtu mwenye ndoto kubwa lkn naona kila nikitafuta mafanikio naona kama napokea matatizo yakutosha.
elimu yangu nina bachelor ya economics and statistics (Baest tangu 2019) upande wa familia nina mtoto mmoja ,shughuli yangu kwa sasa ni kilimo cha mahindi na alizeti lkn tangu 2019-2025 mambo bilala smtm uhakika wa msosi na kodi ni kipengele! madeni ndio yanani sumbua sana.
still im facing the same uncertainties!Putting God first is the best experience
sioni kesho iliyo bora ndugu yangu,Nimeamin mungu kwanza
Hama hata mazingira uanze afresh labda itakusaidiasioni kesho iliyo bora ndugu yangu,
Whatever worked for me might not work for youstill im facing the same uncertainties!
Nimeamin mungu kwanza
nipe mbinu ndugu yangu, muda mwingine nazima simu kisa madeni nadaiwa na watu binafsi mpaka taasisKuna kipindi nilitoka 100 hadi 0 yani hata kula haikuwa uhakika yani nlipoteza matumaini.
Ila Mungu mwema alinipandisha kwa namna ambayo sikutegemea leo nimepanda zaidi ya nlipokuwa namiliki assets kadhaa na natumaini makubwa huko mbele. Yani naweza kusoma ni medium income earner
pole chiefNilianguka gorofani week tatu nyuma
Asante kijanapole chief
I miss youNilianguka gorofani week tatu nyuma
AminaSali Novena ya mtakatifu Rita utavuka salama.