kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Wanawake waliotoka kwenye ndoa kwa sababu hii au ile wapo kwenye majuto mazito japo wengi wao kwenye komenti wamenyooka utadhani hawajapigwa kichwani na kitu kizito chenye ncha kaliSio wanawake wote wenye watoto wamezalishwa wakaacha kilambimkwidu
Wengine wameamua kukaa pembeni baada ya kuona yule aliyeshirikiana nae kupata mtoto sio mume sahihi
Hujawahi kutana na wanawake wanadai talaka na waume zao hawako tayari kwa hilo?
Hujawahi kutana na situation ambayo mahakama inabidi isimame talaka itolewe ili kuokoa maisha ya mwanandoa?
Btw kuvunjika kwa ndoa sio kitu kizuri wala cha kupendeza ila ndoa hatarishi ni hatari zaidi ya talaka
Hayo mengine ya baby baba ni maoni yako wewe binafsi