Changamoto hii kwenye mfumo wa ess katika suala la e-loan

Joined
Mar 17, 2022
Posts
14
Reaction score
1
Habari zenu wakuu! Hope mnaendelea poa na majukumu.
Niende moja kwa moja kwenye lengo husika.,,, Katika harakati za kuomba mkopo via Ess napata changamoto, yaan mfumo unaniandikia phone no is invalid wakati taarifa zote ziko sawa ingawa bado sijajua shida nini. Naomba kama kuna aliyewahi kukutana na changamoto ya namna hii anijuze please aliwezaje kufanikiwa katika huu mchakato.

Asanteni
 
Attachments

  • Screenshot_20241116-111641.png
    Screenshot_20241116-111641.png
    78.3 KB · Views: 18
Io phone no umeiandikaje? Kama umeanza na 076...jaribu kubadilisha anza na +25576...au vice versa🤔
 
Habari zenu wakuu! Hope mnaendelea poa na majukumu.
Niende moja kwa moja kwenye lengo husika.,,, Katika harakati za kuomba mkopo via Ess napata changamoto, yaan mfumo unaniandikia phone no is invalid wakati taarifa zote ziko sawa ingawa bado sijajua shida nini. Naomba kama kuna aliyewahi kukutana na changamoto ya namna hii anijuze please aliwezaje kufanikiwa katika huu mchakato.

Asanteni
Unatumia browser gani?
 
Io phone no umeiandikaje? Kama umeanza na 076...jaribu kubadilisha anza na +25576...au vice versa🤔
mkuu nilifika kwa IT akafanya changes maana ilikuwa haina zero, yaan ilianza na 6 baada ya 0, licha ya kubadili ila naona tatizo ni lile lile kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom