prince Rowland
Member
- Mar 17, 2022
- 14
- 1
Unatumia browser gani?Habari zenu wakuu! Hope mnaendelea poa na majukumu.
Niende moja kwa moja kwenye lengo husika.,,, Katika harakati za kuomba mkopo via Ess napata changamoto, yaan mfumo unaniandikia phone no is invalid wakati taarifa zote ziko sawa ingawa bado sijajua shida nini. Naomba kama kuna aliyewahi kukutana na changamoto ya namna hii anijuze please aliwezaje kufanikiwa katika huu mchakato.
Asanteni
mkuu nilifika kwa IT akafanya changes maana ilikuwa haina zero, yaan ilianza na 6 baada ya 0, licha ya kubadili ila naona tatizo ni lile lile kwenye mfumoIo phone no umeiandikaje? Kama umeanza na 076...jaribu kubadilisha anza na +25576...au vice versaš¤
Shukran mkuuKuna watu wengi wameshindwa kuomba mkopo kupitia ESS, nashauri ikikusumbua sana muone Loan Officer wa Bank akusaidie chap
Google chromeUnatumia browser gani?
Ukishafanyiwa marekebisho lazima yapite masaa 24mkuu nilifika kwa IT akafanya changes maana ilikuwa haina zero, yaan ilianza na 6 baada ya 0, licha ya kubadili ila naona tatizo ni lile lile kwenye mfumo
Shukran mkuu, ntazingatia hiloUkishafanyiwa marekebisho lazima yapite masaa 24
Hata hivyo kama namba inazingua nenda kwa utumishi akuwekee namba nyingine
Tumia browser inaitwa Edge.Google chrome